econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wewe inakuhusu nini?
Bandari au mkataba mwingine wowote wa serikali asipewe kabisa Muislam.
Kaa na udini wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe inakuhusu nini?
Bandari au mkataba mwingine wowote wa serikali asipewe kabisa Muislam.
Waulize TEC walikuwa wapi wakati migodi yetu wanapewa wawekezaji na mashirika yanabinafsishwa?
Wewe ni MWEHU
View attachment 2786045
Waarabu wapo wakristu wamejaa huko Palestine, usikariri ni waarabu wanasali rozari kwa kiarabu Ila sio waislamu God wanamuita Allah maana Allah ni kiarabu Ila ni God huyo huyo MunguKabisa tena, si Miislam hiyo?
Siku zote nimekuwa nasema usije kuwahi kumwamini mwanasiasa kwa lolote au chama chochote, wanatembelea trending tu hakuna lolote.Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.
Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
Hao wakaristo hawafi, mabomu ya USA na Israel yanachaguwa Waislam tu, mtakoma ubisha Waislam.Waarabu wapo wakristu wamejaa huko Palestine, usikariri
Sasa unataka bandari wapewe hao Warabu Waislam?Kaa na udini wako.
Waarabu nimekwambia usiwanasibishe sana na Waislamu, huko wanakufa wote Wakristu na Waislamu pia hadi wasio na dini pia wanakufaHao wakaristo hawafi, mabomu ya USA na Israel yanachaguwa Waislam tu, mtakoma ubisha Waislam.
pewa wewe ukafugie ng'ombeTEC wapo kwa maslahi ya Watanzania, Serikali yenu ipo kwa maslahi ya Waislam, hatutaki wapewe Waislam kuendesha chochote. Tazama hata wizara zote zinazoendeshwa na Waislam zilivyoharibika..
Bibi tinakuheshimu sana Ila udini ulionao unakufanya uonekane km umerukwa na wazimu au hauna akili, una ulokole fulani hivi wa Kiislamu wewe Suni au Shia?TEC wapo kwa maslahi ya Watanzania, Serikali yenu ipo kwa maslahi ya Waislam, hatutaki wapewe Waislam kuendesha chochote. Tazama hata wizara zote zinazoendeshwa na Waislam zilivyoharibika..
DPW wamekimbia mechi wameona isiwe taabu.Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.
Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
Waarabu nimekwambia usiwanasibishe sana na Waislamu, huko wanakufa wote Wakristu na Waislamu pia hadi wasio na dini pia wanakufa
🤖✨
View: https://www.youtube.com/watch?v=o1E2YUmtUNQ
Wanafanya mchezo na TEC hao.
Mtu aliyekosea, unamwambia mara moja tu na kumuacha. Kuendelea kusemasema utaonekana wewe ndo huna akili..!! Kwani ESROW wewe bado unaiongelea? Au richmond je!Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.
Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
Hapo umeongea unafiki ijapokuwa ukweli ni kwamba DPDunia ndio mtandao pekee unaosoma ukifika pande za hifadhi ya Taifa katika nchi ndogo ya Ngorongoro iliyokuwa ndani ya nchi ya Tz.Hatutaki kuwapa bandari Waislam.
Watu wamejikita katika Utaifa zaidi juu ya vipengele vya Mkataba vilivyo vibovu wewe unaleta issue za DPW kumiliki bandari zaidi ya 80. Sasa je kati ya hizo bandari 80 anazomiliki vipengele vyake vinafanana na vipengele ambavyo vipo kwenye Mkataba wetu ?Ujinga ni wakuzaliwa nao. Nchi nzima inaongozwa na Muislamu na hii ni mara ya tatu (Mwinyi,Kikwete na Leo Samia), hilo halikumipa taabu bali lilituletea sote neema na upendo. Leo tunaona BANDARI likipewa Mfadhili wa kiislamu Tanzania itaumia.
DP World has a portfolio of 78 operating marine and inland terminals supported by over 50 related businesses in 40 countries across six continents.
The portfolio of DP World in Europe consists of twelve inland terminals, strategically located in key economic centres throughout Germany, Switzerland, Belgium and France. Some of our terminals are fully owned by DP World, while others are operated in partnership such as Swissterminal, and DP World Liège Container Terminals SA. It is precisely because of our intensive collaboration with partners that our network can offer you 24/7 high-frequency trimodal connections as well as a comprehensive range of additional services. Explore what each location has to offer ()![]()
404
www.dpworld.com
ANGALIA HAPA DPW INAMILIKI BANDARI ZAIDI YA 80 ULIMWENGUNI, Na nchi nyingi sio nchi za Waislamu, na zipo za ULAYA na UMarekani::80+ terminals of DP World
DP World operates over 80 marine and inland ports and terminals, supported by over 50 countries across six continents. Additionally, DP World serves about 70,000 vessels per year, or approximately 190 vessels every day.www.searates.com