Makelele ya bandari yameishia wapi?

Ushindwe na ulegee.
 
DP World anaanza kazi hapo bandarini Novemba mwanzoni mwaka huu. Hao hoa maaskofu walioanzisha fitina ndio wanaokwenda kufaidika wakati hao waarabu wakishaanza kazi hapo bandarini.

Jambo zuri na lenye tija kwa taifa huwa linapigwa sana vita siku zote.
 
Makelele yakasababisha waliojimilikisha nchi waondoe Muswada kwenye Bunge Lao la Ndiyooooo? Basi hayo Makelele Yana Moshi wa kutoa machozi.
Ni Fala tu asiyeona kazi iliyofanywa na CHADEMA na Kanisa Katoliki mpaka watu wamepeleka Kanzu Kwa Kadinali.
Novemba hapo bandarini DP World anaanza kazi. Ni kwa faida ya uchumi wetu mzima.
 
Zungumza yote ila la bandari haliwezi kupoa, ili ni kaburi la ccm
Novemba wiki chache zijazo DP World anaanza kazi pale TPA, wenye kufanya biashara za kutumia huduma ya bandari wanapiga makofi mengi muda huu wakijua kuwa upigaji na uhuni wa mafisadi ndio umefika kikomo.
 
Tumepigwa Tumechakaa Hoi Sana Damu Mwili Mzima
 
Kamuulize mbarawa
 
Uelewe hakuna mtu aliye shida na mwarabu ama Imani yake. Ishu mktaba unufaishe kizazi Cha watanzania na sio wachache. Umeona kwenye madini gesi mbuga tunafuikaje
Kote huko si haohao waarabu na waislam? Au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…