FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindwe na ulegee.Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.
Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
DP World anaanza kazi hapo bandarini Novemba mwanzoni mwaka huu. Hao hoa maaskofu walioanzisha fitina ndio wanaokwenda kufaidika wakati hao waarabu wakishaanza kazi hapo bandarini.Kama huoni mapokezi ya Cardinal airport, Kama huoni ibada zisizo rasmi makanisani na sadaka kubwa kubwa, kama hutuoni tukitembelea cardinal kwenye makazi yake ya uaskofu. Bado nawe hujielewi. Hayo mambo hayawezi kuwa kama yalivyokuwa mwanzo. Kanisa lilishatoa msimamo wake. Bila shaka umeona watawala wanavyo respond. Otherwise wewe unashabikia upuuzi.
Kwani kampuni nazo zina dini? Hivi TANESCO ni dini gani?Hilo mbona liko wazi kabisa? Ulikuwa huelewi?
Bandari asipewe Muislam kuiendesha.
Hawakuwlpewa waislamu ndio maana walikua kimyaWaulize TEC walikuwa wapi wakati migodi yetu wanapewa wawekezaji na mashirika yanabinafsishwa?
Novemba hapo bandarini DP World anaanza kazi. Ni kwa faida ya uchumi wetu mzima.Makelele yakasababisha waliojimilikisha nchi waondoe Muswada kwenye Bunge Lao la Ndiyooooo? Basi hayo Makelele Yana Moshi wa kutoa machozi.
Ni Fala tu asiyeona kazi iliyofanywa na CHADEMA na Kanisa Katoliki mpaka watu wamepeleka Kanzu Kwa Kadinali.
Novemba wiki chache zijazo DP World anaanza kazi pale TPA, wenye kufanya biashara za kutumia huduma ya bandari wanapiga makofi mengi muda huu wakijua kuwa upigaji na uhuni wa mafisadi ndio umefika kikomo.Zungumza yote ila la bandari haliwezi kupoa, ili ni kaburi la ccm
Uwezo wa kutema mate na kuona kinyaa waonapo nyama tamu ya nguruwe?Wachana na mimi, jibu hoja zangu.
Bandari asipewe kabisa Muislam. Wana uwezo upi Waislam kuwashinda wasio Waislam?
Uwezo wa kutema mate na kuona kinyaa waonapo nyama tamu ya nguruwe
Tanesco ni dini ya TEC, kwani madume ya mbegu TEC yana dini gani?Kwani kampuni nazo zina dini? Hivi TANESCO ni dini gani?
Muingereza kampa mwarabu bandari zake mbili.Ni hatari kumpa mwarabu bandari si muislamu. Hilo limekwisha.
Mwarabu tu ana hatari gani? Mwarabu Muislam ndiye mwenye hatari, sema kweli bana.Ni hatari kumpa mwarabu bandari si muislamu. Hilo limekwisha.
Kamuulize mbarawaTumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.
Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
Hatutaki kuwapa bandari Waislam.
Ndo ushamjibu hivyo!Hustahili kujibiwa na watu wenye akili.
Haina shida si mwawaona watz mazwazwa, twende tuNovemba wiki chache zijazo DP World anaanza kazi pale TPA, wenye kufanya biashara za kutumia huduma ya bandari wanapiga makofi mengi muda huu wakijua kuwa upigaji na uhuni wa mafisadi ndio umefika kikomo.
Uelewe hakuna mtu aliye shida na mwarabu ama Imani yake. Ishu mktaba unufaishe kizazi Cha watanzania na sio wachache. Umeona kwenye madini gesi mbuga tunafuikajeHatutaki kuwapa bandari Waislam.
Kote huko si haohao waarabu na waislam? Au siyo?Uelewe hakuna mtu aliye shida na mwarabu ama Imani yake. Ishu mktaba unufaishe kizazi Cha watanzania na sio wachache. Umeona kwenye madini gesi mbuga tunafuikaje
Am sorry I know the frequency or the energy levels of brain.Kote huko si haohao waarabu na waislam? Au siyo?