Makinda ashangaa wasomi wanaokula bure makwao

Ila yeye hajishangai miaka zaidi ya 50, yupo kwenye mfumo! Analipwa tu midhahara na podho nono akiwa kama bosi wa bima ya afya ya NHIF! Amekuwa mbunge tangu enzi za Nyerere! Mkuu wa Mkoa! Spika!

Bado mpaka leo anaendelea tu kutafuna hela za walipa kodi! Lini na yeue atatosheka? Ili na vijana nao wafaidi keki ya Taifa lao?
Ni speaker mstaafu anapata 80% ya stahiki za Spika aliyeko,ni Mwenyekiti wa NHIF iliyofilisika na ni kamisaa wa sensa na upuuzi mwingine..

Majitu kama haya yasiwe yanathubutu hata kunyanyua midomo yao.
 
Cha ajabu wasomi uchwara watakuja kumshambulia hapa, kijana ana nguvu zake na ni msomi ila hafanyi chochte analala tu kama demu na kusubiri msosi wa shikamoo..
Wengi wanabet na kucheza michezo ya bahati nasibu ndio ajira pekee waliyonayo kwa sasa hakuna anaependa kukaa bure mtu amesotea elimu zaidi ya miaka 15 usimchukulia poa you must show some respect to them, wamepambana kuitafuta elimu kwa jasho, shida na taabu angalau wameelimika..
 
Wakati kilio cha watu kukosa ajira hasa kwa vijana kikiendelea kushika kasi, Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Makinda, amesema kuna idadi kubwa ya wasomi wanaoishi kwa wazazi wao wakila bure kwa kutotaka kufanya shughuli za kuingizia kipato.

Makinda ametoa kauli hiyo leo ijumaa, Septemba 23, 2022 ambapo amesema jambo hilo halifurahishi kwa sababu elimu anayopata mtu anatakiwa aitumie kupambana na mazingira.

"Tumeambiwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha na wala sio ufunguo wa ajira, watu wanahangaika kila kukicha kusaka ajira" amesema

Kamisaa Makinda amesema idadi ya watu inazidi kuongezeka kila kukicha na mbaya zaidi wengi hawafanyi kazi.

“Ni jambo la kushangaza kuona wasomi hawapendi kujishughulisha na vitu vya kuwaingizia kipato, hawafanyi hata biashara wakati wasiosoma wanafanya shughuli za kuingiza kipato” amesema.

Ameongeza kuwa Sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwezi uliopita itasaidia kupatikana kwa takwimu zitakazotumika kutunga sera mbalimbali.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dk Batilda Burian, alimweleza Makinda kuwa makarani wa sensa wawili walifariki mkoani humo ambapo mmoja alijiua kutokana na matatizo ya kifamilia na mwingine alifariki akiwa katika nyumba ya wageni aliyofikia baada ya mafunzo ya siku 21.

Amesema mwingine alijeruhiwa baada ya kupata ajali wakati akienda kutuma taarifa za Sensa na mguu wake kushoto kusagika na hivyo kukatwa na hivi sasa wanafanya utaratibu wa kumtafutia mguu wa bandia.

Dk Batilda amesema awali walikadiria kuhesabu kaya 490,000 lakini hasa wanakamilisha walihesabu kaya 577,128 sawa na asilimia 118.

Chanzo: Mwananchi
Hawa watu nafasi wanazopeana wanadhani ni haki yao.

Kwani hata kwenye sensa anadhani yeye alikuwa na lipi la mno la kufanya kuliko wangapi kibao wasiokuwa na ajira anaojaribu kuwazodoa leo?
 
Wakati kilio cha watu kukosa ajira hasa kwa vijana kikiendelea kushika kasi, Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Makinda, amesema kuna idadi kubwa ya wasomi wanaoishi kwa wazazi wao wakila bure kwa kutotaka kufanya shughuli za kuingizia kipato.

Makinda ametoa kauli hiyo leo ijumaa, Septemba 23, 2022 ambapo amesema jambo hilo halifurahishi kwa sababu elimu anayopata mtu anatakiwa aitumie kupambana na mazingira.

"Tumeambiwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha na wala sio ufunguo wa ajira, watu wanahangaika kila kukicha kusaka ajira" amesema

Kamisaa Makinda amesema idadi ya watu inazidi kuongezeka kila kukicha na mbaya zaidi wengi hawafanyi kazi.

“Ni jambo la kushangaza kuona wasomi hawapendi kujishughulisha na vitu vya kuwaingizia kipato, hawafanyi hata biashara wakati wasiosoma wanafanya shughuli za kuingiza kipato” amesema.

Ameongeza kuwa Sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwezi uliopita itasaidia kupatikana kwa takwimu zitakazotumika kutunga sera mbalimbali.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dk Batilda Burian, alimweleza Makinda kuwa makarani wa sensa wawili walifariki mkoani humo ambapo mmoja alijiua kutokana na matatizo ya kifamilia na mwingine alifariki akiwa katika nyumba ya wageni aliyofikia baada ya mafunzo ya siku 21.

Amesema mwingine alijeruhiwa baada ya kupata ajali wakati akienda kutuma taarifa za Sensa na mguu wake kushoto kusagika na hivyo kukatwa na hivi sasa wanafanya utaratibu wa kumtafutia mguu wa bandia.

Dk Batilda amesema awali walikadiria kuhesabu kaya 490,000 lakini hasa wanakamilisha walihesabu kaya 577,128 sawa na asilimia 118.

Chanzo: Mwananchi
Pumbav ,that filthy ugly old whore .
 
Cha ajabu wasomi uchwara watakuja kumshambulia hapa, kijana ana nguvu zake na ni msomi ila hafanyi chochte analala tu kama demu na kusubiri msosi wa shikamoo..
Shida kaka ni mifumo na sera
Kwa mfano sera ya kilimo inakuwa sio rafiki japo wanatuaminisha kilimo ni UTI wa mgongo ila sio kweli kilimo ni mateso kwa wakulima wadogo wadogo.

Wangeanza na viwanda vingi wakatutunga sera bora ya kilimo nadhani wangelikwamua vijana wengi sana sana
 
Kuna Mambo ya ajabu, mbona yeye alizeekea bungeni?
Ameishi na anaishi kwa Kodi zetu...amefanya nin nje ya kutafuna Kodi zetu?
 
Kujua chuki inayoweza kujitokeza kwa kauri fulani kabla ya kuitamka ni moja ya viashiria vya hekima!

Nilidhani baada ya kustafu angerudi Makete, kumbe bado anaendelea na ajira, badala ya kuandaa bustani yake ya mapapai
 
Hawa mbwa wanasiasa wangejua mazito vijana na jobless hupitia basi wangefunga midomo yao.

Mtu mpka anafikia hatua ya kula kulala ujuwe ni hopelessly yawezekana kapambana mpka mwisho wa uwezo wake na akili zake, ukijumlisha na familia nyingi za kiafrika kumuendeleza kijana aliyewamalizia pesa kwaajili ya kusoma eti apewe pesa zingine za mtaji, hiyo ni ngumu, anakuwa aaminiki, maana hata kazi kakosa wakati wengine wanapata.

Akae kimya huyo bibi hajui watu wanapitia mangapi huku mitaani.

Cha msingi waache lawama na wajue watawasaidia vip majobless na sio kulaum, kulaum ni kuwachanganya zaidi kiakili ili baadae wajitoe muhanga na kuanza kujihusisha na makundi hatar kama panyaroad na ujambazi.

Hawa viongozi wetu ni takataka kabisa, baada ya kushindwa kusolve tatizo la ajira sasa wameona waanze kuwalaumu vijana, ili waonekane ndio mzigo na uzembe wao kutofanya kazi,

Kazi zipi hizo wafanye? Tulime, tukalimie mashamba ya nan? Mbolea na pembejeo zipo za bure? PUMBAVU KABISA HUYO
Screenshot_20220922-145154_Twitter.jpg
 
Hawa jamaa ndio wanaokaa na Hela zetu katika mifuko ya hifadhi ya jamii hata pale tunapositishiwa mkababa na mwajiri, Kisha wanatulazimisha tutafute kazi ingine
 
Wakati kilio cha watu kukosa ajira hasa kwa vijana kikiendelea kushika kasi, Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Makinda, amesema kuna idadi kubwa ya wasomi wanaoishi kwa wazazi wao wakila bure kwa kutotaka kufanya shughuli za kuingizia kipato.

Makinda ametoa kauli hiyo leo ijumaa, Septemba 23, 2022 ambapo amesema jambo hilo halifurahishi kwa sababu elimu anayopata mtu anatakiwa aitumie kupambana na mazingira.

"Tumeambiwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha na wala sio ufunguo wa ajira, watu wanahangaika kila kukicha kusaka ajira" amesema

Kamisaa Makinda amesema idadi ya watu inazidi kuongezeka kila kukicha na mbaya zaidi wengi hawafanyi kazi.

“Ni jambo la kushangaza kuona wasomi hawapendi kujishughulisha na vitu vya kuwaingizia kipato, hawafanyi hata biashara wakati wasiosoma wanafanya shughuli za kuingiza kipato” amesema.

Ameongeza kuwa Sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwezi uliopita itasaidia kupatikana kwa takwimu zitakazotumika kutunga sera mbalimbali.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dk Batilda Burian, alimweleza Makinda kuwa makarani wa sensa wawili walifariki mkoani humo ambapo mmoja alijiua kutokana na matatizo ya kifamilia na mwingine alifariki akiwa katika nyumba ya wageni aliyofikia baada ya mafunzo ya siku 21.

Amesema mwingine alijeruhiwa baada ya kupata ajali wakati akienda kutuma taarifa za Sensa na mguu wake kushoto kusagika na hivyo kukatwa na hivi sasa wanafanya utaratibu wa kumtafutia mguu wa bandia.

Dk Batilda amesema awali walikadiria kuhesabu kaya 490,000 lakini hasa wanakamilisha walihesabu kaya 577,128 sawa na asilimia 118.

Chanzo: Mwananchi
National Anthem mwanawane tunasufwa huku na bibi yetu.
 
Back
Top Bottom