The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ni speaker mstaafu anapata 80% ya stahiki za Spika aliyeko,ni Mwenyekiti wa NHIF iliyofilisika na ni kamisaa wa sensa na upuuzi mwingine..Ila yeye hajishangai miaka zaidi ya 50, yupo kwenye mfumo! Analipwa tu midhahara na podho nono akiwa kama bosi wa bima ya afya ya NHIF! Amekuwa mbunge tangu enzi za Nyerere! Mkuu wa Mkoa! Spika!
Bado mpaka leo anaendelea tu kutafuna hela za walipa kodi! Lini na yeue atatosheka? Ili na vijana nao wafaidi keki ya Taifa lao?
Hizi ni data za mkoa mmoja mkuu ambao ni TaboraHivi mimi ndo sijui kuzidisha??
kaya 577,000× 5(wastani wa wanakaya)=2,850,000
kwo kwa haraka tuna watu 2850000 tu??
Wengi wanabet na kucheza michezo ya bahati nasibu ndio ajira pekee waliyonayo kwa sasa hakuna anaependa kukaa bure mtu amesotea elimu zaidi ya miaka 15 usimchukulia poa you must show some respect to them, wamepambana kuitafuta elimu kwa jasho, shida na taabu angalau wameelimika..Cha ajabu wasomi uchwara watakuja kumshambulia hapa, kijana ana nguvu zake na ni msomi ila hafanyi chochte analala tu kama demu na kusubiri msosi wa shikamoo..
Duuuh kumbe hana MTOto hata mmoja? 🙄Laiti angelikuwa na mtoto hata mmoja, .... au basi!
Nakazia mkuuYeye hajishangai kuwa na Post 3 za uteuzi wakati ilitakiwa awe amestaafu analea wajukuu? Viongozi wawe wanatafakari kabla ya kuongea
Hawa watu nafasi wanazopeana wanadhani ni haki yao.Wakati kilio cha watu kukosa ajira hasa kwa vijana kikiendelea kushika kasi, Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Makinda, amesema kuna idadi kubwa ya wasomi wanaoishi kwa wazazi wao wakila bure kwa kutotaka kufanya shughuli za kuingizia kipato.
Makinda ametoa kauli hiyo leo ijumaa, Septemba 23, 2022 ambapo amesema jambo hilo halifurahishi kwa sababu elimu anayopata mtu anatakiwa aitumie kupambana na mazingira.
"Tumeambiwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha na wala sio ufunguo wa ajira, watu wanahangaika kila kukicha kusaka ajira" amesema
Kamisaa Makinda amesema idadi ya watu inazidi kuongezeka kila kukicha na mbaya zaidi wengi hawafanyi kazi.
“Ni jambo la kushangaza kuona wasomi hawapendi kujishughulisha na vitu vya kuwaingizia kipato, hawafanyi hata biashara wakati wasiosoma wanafanya shughuli za kuingiza kipato” amesema.
Ameongeza kuwa Sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwezi uliopita itasaidia kupatikana kwa takwimu zitakazotumika kutunga sera mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dk Batilda Burian, alimweleza Makinda kuwa makarani wa sensa wawili walifariki mkoani humo ambapo mmoja alijiua kutokana na matatizo ya kifamilia na mwingine alifariki akiwa katika nyumba ya wageni aliyofikia baada ya mafunzo ya siku 21.
Amesema mwingine alijeruhiwa baada ya kupata ajali wakati akienda kutuma taarifa za Sensa na mguu wake kushoto kusagika na hivyo kukatwa na hivi sasa wanafanya utaratibu wa kumtafutia mguu wa bandia.
Dk Batilda amesema awali walikadiria kuhesabu kaya 490,000 lakini hasa wanakamilisha walihesabu kaya 577,128 sawa na asilimia 118.
Chanzo: Mwananchi
Pumbav ,that filthy ugly old whore .Wakati kilio cha watu kukosa ajira hasa kwa vijana kikiendelea kushika kasi, Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Makinda, amesema kuna idadi kubwa ya wasomi wanaoishi kwa wazazi wao wakila bure kwa kutotaka kufanya shughuli za kuingizia kipato.
Makinda ametoa kauli hiyo leo ijumaa, Septemba 23, 2022 ambapo amesema jambo hilo halifurahishi kwa sababu elimu anayopata mtu anatakiwa aitumie kupambana na mazingira.
"Tumeambiwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha na wala sio ufunguo wa ajira, watu wanahangaika kila kukicha kusaka ajira" amesema
Kamisaa Makinda amesema idadi ya watu inazidi kuongezeka kila kukicha na mbaya zaidi wengi hawafanyi kazi.
“Ni jambo la kushangaza kuona wasomi hawapendi kujishughulisha na vitu vya kuwaingizia kipato, hawafanyi hata biashara wakati wasiosoma wanafanya shughuli za kuingiza kipato” amesema.
Ameongeza kuwa Sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwezi uliopita itasaidia kupatikana kwa takwimu zitakazotumika kutunga sera mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dk Batilda Burian, alimweleza Makinda kuwa makarani wa sensa wawili walifariki mkoani humo ambapo mmoja alijiua kutokana na matatizo ya kifamilia na mwingine alifariki akiwa katika nyumba ya wageni aliyofikia baada ya mafunzo ya siku 21.
Amesema mwingine alijeruhiwa baada ya kupata ajali wakati akienda kutuma taarifa za Sensa na mguu wake kushoto kusagika na hivyo kukatwa na hivi sasa wanafanya utaratibu wa kumtafutia mguu wa bandia.
Dk Batilda amesema awali walikadiria kuhesabu kaya 490,000 lakini hasa wanakamilisha walihesabu kaya 577,128 sawa na asilimia 118.
Chanzo: Mwananchi
Shida kaka ni mifumo na seraCha ajabu wasomi uchwara watakuja kumshambulia hapa, kijana ana nguvu zake na ni msomi ila hafanyi chochte analala tu kama demu na kusubiri msosi wa shikamoo..
National Anthem mwanawane tunasufwa huku na bibi yetu.Wakati kilio cha watu kukosa ajira hasa kwa vijana kikiendelea kushika kasi, Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Makinda, amesema kuna idadi kubwa ya wasomi wanaoishi kwa wazazi wao wakila bure kwa kutotaka kufanya shughuli za kuingizia kipato.