Si kweli,Katika maisha yangu yote hakuna ndoto nmeota ikaja tokea kweli.
Kwa hiyo unaniambia kule tunapoota ni dunia nyingine? Haihusiani na hii tuliyopo? Na wale watu tunaowajua na kuwaota tunakutana kweli huko ndotoni?
Mbele za Mungu,Kwahiyo ndugu yangu Rabon nikikuona ndotoni una jinsia ya kike itakua ni kweli?
Tuchukulie upo sahihi, kipofu wa kuzaliwa anaota ndoto za audio au video?
Kwa hiyo sijui kutafsiri ndoto zangu?Si kweli,
Mengi yametokea uliyoona,
Labda nikunaliane nawe, hukujua kutafsiri maana lugha inayotumika kule ni tofauti.
Ukiona maji ni watu,
Wanyama ni watu,
Miti ni watu,
Barabara ni njia, hatma yako upitiayo,
Shule ni WEWE mwenyewe, darasa/ jengo ni kanisa, na kanisa ni wewe, mafundisho ni maelekezo uyapatayo, unayoyahitaji Ili kupiga hatua mbalimbali Maishani.
Tafsiri ni KUPITIA Neno la Mungu kwa msaada wa Roho mtakatifu.Halafu utaniambia unatafsiri kwa njia gani au vitabu gani?
Kuwa serious.Ushawai ota umekatwa kiongo chako