Makinika! Hakuna tofauti ya ndoto na mtu, ndoto ndiyo mtu mwenyewe

Andika kwa kirefu ulichoona kupata clear meaning,
Njiwa rangi gani, alikuwa wapi, alifanya Nini, madini yepi, ulitambua eneo Hilo la madini? Na uliishia kuyaona au uliyachukua, pia kazi yako inahusiana na madini au uchimbaji?
Niliota nipo sehemu porini na wife tupo maeneo kuna sehem nilikua nimeenda kutafuta madini vile nachimba sehemu ilikua laini sikwenda mbali shimo yaani juu juu tu nakutana ma bars za dhahabu nyingi na vikole vya dhahabu, nikazibeba kwenye shati nikavua nikafunga huku shingoni mwa shati nikazitumbukiza katika uwazi wa shati hadi zikajaa na wife vile vile kabeba na kuweka begi lake likajaa tukaondoka nazo, Mara nikapelekwa sehem nyingine porini kufungua mkono nimeshika madini ruby na almasi na nikaelekezwa porin nikakutana na mwamba wa ruby( damu ya mzee), huwa naota ota sana madini almasi zinawaka,.e.tc

Njiwa na kipepeo niliota njiwa chumbani kwangu anaruka ruka kwa furaha, na kipepeo pia! Wife pia aliota njiwa weupe peee wanaruka kuanzia mlangoni kuja chumbani wapo wamejipanga wameenza wakubwa, dume, jike na vitoto wako kama saba wanaruka kwa furaha ndani na kuzunguka chumbani kwa madaha na kitandani kwetu.

Nyongeza; Nina braza wangu mmoja ni mtu wa maombi siku akanisimulia kuwa aliota tuko eneo na yeye sasa yeye akiwa zake anaendelea naishu zingine mimi nilikua nagonga gonga kama kwenye kaburi lililojengewa cement baada ya hapo nikapata vipande vya madini almasi, ruby e.tc nikamwita kumuonesha akawa amebaki anashangaa haya madini yametokaje kwenye kaburi kwa kugonga?

Njiwa nilioota yupo kama huyo kwenye picha!

images (8).jpeg
 
Mtu yule ni WEWE.

Kusoma mpakka chuo kikuu, ni taarifa kuwa, WEWE ambaye ni Roho, una Kila kitu, una kila utimilifu ndani yako.

Ila Katika mwili, hatua zako zinarudishwa nyumma na wewe mwenyewe kushindwa kuconnect na Roho yako, MAISHA yako nna Mungu wako ambaye ndiye aliyeweka utimilifu ndani yako.

Yawezakuwa Katika mwili umeenda somea kitu ambacho sicho Mungu alichokipangia kitumike kukufanikisha. Ndio maana ukarudiahwa level za chini.

Rudi kuongeza MAISHA ya maombi, uko darasani Mungu akufundisha Ili ufukie utimilifu wako.

Ukizidi kufunga na kuomba na kumshukuru Mungu kwa sadaka, zaka na MAISHA ya utakatifu,

Atakuonuesha sehemu yako sahihi ya kutumika Ili ufanikiwe kwa haraka,

Nia ya Mungu kukupa kipawa au kazi, anataka ufanikiwe, ila lengo kuu ni ufalme wa Mungu uonekane ofisini au kazini KUPITIA WEWE.

Darasa ni kanisa,

Shule ni kanisa Hilo Hilo,

Mwanafunzi ni WEWE huyo huyo.

Na Shule ndio WEWE pia, maana mwili wako ni hekalu, ambamo Mungu hukaa, au anataka akae.

Akufundisha darasa la MAISHA Ili uone hatma yako uliyopewa tayari rohoni, itookee mwilini.
Ubarikiwe 🙏
Barikiwa sana mtumishi ulichoandika ni kweli kabisa sababu nmeota ndoto baada ya kufanya mambo ambayo hayampendezi mungu wangu huenda sababu ya ugumu wa kutafuta maisha maisha.

Huenda bwana amenikutanisha nawe kwa malengo maalum.

Naomba nisaidie nini nifanye maaana nmesoma mpaka chuo lakini huu ni mwaka wa 10 sijawahi ajiriwa wala kutumika kwa vyeti vyangu( elimu,nilichosomea)

Maana siku hyo hyo nloota hyo ndoto mwenzangu pia (girlfriend) aliota ndoto akiniota kuwa

Alikuwa amesesimama ghafla nikawa napita huku nakimbia,kisha akaniuliza unakimbizwa na nini? Mimi nikamwambia kuna watu wanataka kuniua kisha akanambia watu gani?

Mimi nikamwambia wale kule,alivyoangalia kwa mbali akaona viumbe vya ajabu vinanikimbiza basi akastuka.
 
Tafsiri ni KUPITIA Neno la Mungu kwa msaada wa Roho mtakatifu.

Mungu KUPITIA Roho mtakatifu ndiye pekee awezaye kukwambia uliota Nini na tafsiri yake hata kama ulisahau ulichoota, rejea Mfalme Nebuchadnezzar.

Hali uliyonayo na mkwamo au mafanikio yamefungwa Katika ndoto uzionazo.
Wewe ni mkatoliki?
 
L

Ahsante
Nilikuwa juu ya maji chomboni ziwa victoria, ndotoni nilikuwa peke yangu sukuona watu wengine, niliota mwaka Jana.
Maji mengi ni watu ,

Sasa watu wa kanda hiyo ya Ziwa Viktoria WEWE huwafurahii, au hufurahui MAISHA au shughhuli uzifanyazo eneo Hilo.

Mwombe zaidi Mungu akupe kufanya uelekeo na uamuzi sahihi.
 
Barikiwa sana mtumishi ulichoandika ni kweli kabisa sababu nmeota ndoto baada ya kufanya mambo ambayo hayampendezi mungu wangu huenda sababu ya ugumu wa kutafuta maisha maisha.

Huenda bwana amenikutanisha nawe kwa malengo maalum.

Naomba nisaidie nini nifanye maaana nmesoma mpaka chuo lakini huu ni mwaka wa 10 sijawahi ajiriwa wala kutumika kwa vyeti vyangu( elimu,nilichosomea)

Maana siku hyo hyo nloota hyo ndoto mwenzangu pia (girlfriend) aliota ndoto akiniota kuwa

Alikuwa amesesimama ghafla nikawa napita huku nakimbia,kisha akaniuliza unakimbizwa na nini? Mimi nikamwambia kuna watu wanataka kuniua kisha akanambia watu gani?

Mimi nikamwambia wale kule,alivyoangalia kwa mbali akaona viumbe vya ajabu vinanikimbiza basi akastuka.
Mungu anakupa taarifa Ili ugeuke na kumrudia,

Ikiwa umeacha kwenda kuabudu Anza mara moja, weka Nia thabiti ,soma sana Biblia na uwe mtu wa maombi,

Anza pia kufunga hata mara moja kwa wiki,

Kufunga kula Katika mwili ni kuongeza nguvu za Roho na kupata njia ya kuvunjwa minyororo alokufunga yule mwovu usifikie baraka zako.

Mimi pia before, nilliwhi kuota Niko primary school wakati kimwili nimetoka university. Jambo hili lilinifadhahisha na kunihuzunisha.

Nilipoanza MAISHA ya ibada na maombi na kufunga, nilianza kuota ndoto Niko secondary niliposomea, baadae nikazidi kuomba, nikajikuta naota Niko university nafanya mitihani, baadae nikaota Niko mlimani najenga, maana yake kuwa mlimani nikijenga hiyo ni kazi ya Mungu, na nilionyeshwa kuwa sasa nimmepanda levels.

Mmaisha YANGU sasa, ni tofauti,

Pesa zinanifuata bila kuzitafuta kwa nguvu kama zamani.

Amini nikuambiacho, ukiona pekeako uzito, tafuta mtumishi sahihi akusaidie muombe pamoja. Ingawa nashauri,mahusiano yako binafsi na Mungu aliyekuonesha hayo ndotoni ni muhimu sana.

Ubarikiwe 🙏
 
Barikiwa sana mtumishi ulichoandika ni kweli kabisa sababu nmeota ndoto baada ya kufanya mambo ambayo hayampendezi mungu wangu huenda sababu ya ugumu wa kutafuta maisha maisha.

Huenda bwana amenikutanisha nawe kwa malengo maalum.

Naomba nisaidie nini nifanye maaana nmesoma mpaka chuo lakini huu ni mwaka wa 10 sijawahi ajiriwa wala kutumika kwa vyeti vyangu( elimu,nilichosomea)

Maana siku hyo hyo nloota hyo ndoto mwenzangu pia (girlfriend) aliota ndoto akiniota kuwa

Alikuwa amesesimama ghafla nikawa napita huku nakimbia,kisha akaniuliza unakimbizwa na nini? Mimi nikamwambia kuna watu wanataka kuniua kisha akanambia watu gani?

Mimi nikamwambia wale kule,alivyoangalia kwa mbali akaona viumbe vya ajabu vinanikimbiza basi akastuka.
Chukua hatua mapema,

Shetani anakuvizia akumalize kwa haraka.

Lakini ukimrudia Mungu, utapata ulinzi na baraka zako zitakurudia.
 
Ndu
Niliota nipo sehemu porini na wife tupo maeneo kuna sehem nilikua nimeenda kutafuta madini vile nachimba sehemu ilikua laini sikwenda mbali shimo yaani juu juu tu nakutana ma bars za dhahabu nyingi na vikole vya dhahabu, nikazibeba kwenye shati nikavua nikafunga huku shingoni mwa shati nikazitumbukiza katika uwazi wa shati hadi zikajaa na wife vile vile kabeba na kuweka begi lake likajaa tukaondoka nazo, Mara nikapelekwa sehem nyingine porini kufungua mkono nimeshika madini ruby na almasi na nikaelekezwa porin nikakutana na mwamba wa ruby( damu ya mzee), huwa naota ota sana madini almasi zinawaka,.e.tc

Njiwa na kipepeo niliota njiwa chumbani kwangu anaruka ruka kwa furaha, na kipepeo pia! Wife pia aliota njiwa weupe peee wanaruka kuanzia mlangoni kuja chumbani wapo wamejipanga wameenza wakubwa, dume, jike na vitoto wako kama saba wanaruka kwa furaha ndani na kuzunguka chumbani kwa madaha na kitandani kwetu.

Nyongeza; Nina braza wangu mmoja ni mtu wa maombi siku akanisimulia kuwa aliota tuko eneo na yeye sasa yeye akiwa zake anaendelea naishu zingine mimi nilikua nagonga gonga kama kwenye kaburi lililojengewa cement baada ya hapo nikapata vipande vya madini almasi, ruby e.tc nikamwita kumuonesha akawa amebaki anashangaa haya madini yametokaje kwenye kaburi kwa kugonga?

Njiwa nilioota yupo kama huyo kwenye picha!

View attachment 3369150
Ndugu polle sana.

Njiwa mweusi SI njiwa wa kheri, ni njiwa wa Giza.

Pia umeona kaburi, yaani unapata madini kwa kugonga kaburi. Huo ni utajiri fake. Kaburini hakuna utajiri ni sehemu ya wafu, Kila kitu kitazikwa Maishani mwako.

Kwa ufupi,

Kuwa mstuni WEWE na mkeo, ni tafsiri kuwa ninyi nyote mmefungwa.

Yupo mmoja wa wanafamilia mwenzenu anawatumia ninyi kama sadaka kujitajirisha.

Amefunga nafsi zenu porini kwa kuchukua baadhi ya vitu kama nywele, kucha na kuvizika porini Ili afanikiwe Yeye KUPITIA ninyi.

Sasa kwa kuwa Hadi sasa ninyi ni wafungwa Katika Roho, kimbilia kanisani. Na kanisa liwe na mtumishi wa kweli,SI Hawa matapeli.

Zaidi pia shirikiana na mkeo muanze MAISHA ya kimaombi.

Lakini ikiwa umewahi kwenda kwa mganga wa kichawi, tubu DHAMBI hiyo pia.

Ubarikiwe 🙏
 
Niliota nipo sehemu porini na wife tupo maeneo kuna sehem nilikua nimeenda kutafuta madini vile nachimba sehemu ilikua laini sikwenda mbali shimo yaani juu juu tu nakutana ma bars za dhahabu nyingi na vikole vya dhahabu, nikazibeba kwenye shati nikavua nikafunga huku shingoni mwa shati nikazitumbukiza katika uwazi wa shati hadi zikajaa na wife vile vile kabeba na kuweka begi lake likajaa tukaondoka nazo, Mara nikapelekwa sehem nyingine porini kufungua mkono nimeshika madini ruby na almasi na nikaelekezwa porin nikakutana na mwamba wa ruby( damu ya mzee), huwa naota ota sana madini almasi zinawaka,.e.tc

Njiwa na kipepeo niliota njiwa chumbani kwangu anaruka ruka kwa furaha, na kipepeo pia! Wife pia aliota njiwa weupe peee wanaruka kuanzia mlangoni kuja chumbani wapo wamejipanga wameenza wakubwa, dume, jike na vitoto wako kama saba wanaruka kwa furaha ndani na kuzunguka chumbani kwa madaha na kitandani kwetu.

Nyongeza; Nina braza wangu mmoja ni mtu wa maombi siku akanisimulia kuwa aliota tuko eneo na yeye sasa yeye akiwa zake anaendelea naishu zingine mimi nilikua nagonga gonga kama kwenye kaburi lililojengewa cement baada ya hapo nikapata vipande vya madini almasi, ruby e.tc nikamwita kumuonesha akawa amebaki anashangaa haya madini yametokaje kwenye kaburi kwa kugonga?

Njiwa nilioota yupo kama huyo kwenye picha!

View attachment 3369150
Njiwa weupe aliowaona mkeo ni baraka hiyo.

Ndani yenu Katika Roho, Mungu ameweka utajiri mkubwa.

Sasa ikiwa Katika mwili hamna huo utajiri, rudieni kwa Mungu. Kamwe mmsiende kwa waganga, Waganga watawaibia baraka zenu na kuwapa wengine maana shetani kazi yake ni mwizi na muuaji na mwongo.
 
Shukrani Mkuu! Mimi na mke wangu tuna historia kidogo imekaa kiroho sana hata kukutana kwetu!
Na tunafanya maombi kwa Mungu na kwenda kanisani kwenye maombi na Mungu tunaona akitenda katika maisha yetu.

yes! Mwaka Jana nilienda kwa Nabii mmoja kutokana na matatizo yaliyokua yananisibu hiyo ni baada ya kuoteshwa ndoto ni kanisa gani niende maana nilishazunguka kwa watumishi wa Mungu(Nabii) na hawakuweza kuona tatizo lililokua linanisibu, Mungu akanidirect kwa nabii huyo kuanzia kwenye ndoto na nilienda na mtu kanisindikiza ndotoni kufika pale! Baada ya kufika pale roho wa Mungu aliniongoza kufika pale na nilipofika nikasikia sauti inaniambia kaa pale nabii atakuona.

(nb; kwenye ndoto sasa kabla ya kwenda usiku wake ni kuwa Nilifika pale kanisani na ndo mara yangu ya kwanza nikiwa nimeongozana na mtu mwanaume kama ananilinda alikua amevaa nadhifu. nilipofika pale yule nabii akanimbia kaka hapo simama, nikasimama na yule mtu akasimama pembeni yangu, Nabii akaniambia hata kama hujaniambia matatizo yako,Mungu tayari ameshaniambia na unakwenda kufunguliwa kwa jina la Yesu)

Ni kweli nilipofika nabii aliweza kuniona na kutoa ule uchawi uliokuwa nimewekewa tangu utoto na kuna mtu alikuwa anatumia karama! Na nabii akachora ishar ya msalaba kichwani kwa mafuta katika eneo nililokua nimelogwa kishirikina na akatamka hakutakua na mamlaka itakayoinuka tena na nikapata unabii mkubwa sana..baada ya hapo nikaanza kuona connection zile alizosema nabii Mungu anaanza kuzileta za kunipeleka kwenye hatma yangu.
Nb; Video ya lile tukio ninalo! Hakika Mungu azidi kumbariki yule Nabii

Kuna siku nilisemaga humu nitakuja kuleta uzi juu ya mambo ya kiroho niliyoyapitia na Mungu alivonisaidia.

Ubarikiwe!
 
Share nasi ushuhuda wako kwa kuandika thread upatapo kibali.

Wengi wanapotea kwa kukosa msaada baada ya kukutana na matapeli wajiitao manabii.

Ubarikiwe sana🙏
 
Niliota ndoto nipo na mfanyakazi mwenzarngu,ambaye tulifanya kazi Moja miaka ya nyuma,
Kwan Sasa wote wawili hatupo Tena katika kazi ile.......japo ndoto yangu tilikuwa tupo kituo kile cha kazi ....tukapewa Kila Mmoja check ya fedha ths 1.65m.....
Zilikuwa ni closed check...makuu wa kituo cha kazi alizisaini japo kwa kumtafuta kwa taabu sana na kutuomba tumpe japo kinywaji ndio afanikishe.... signatory
Baaada yà ku submit check bank na kukaa waiting
Aagrrrrrrrr nikashituka nipo ktk net kitandani na si bank tena
 
Endellea na maombi,

Hapo kazini bado unahitajika. Uliondoka ukaacha nyuma baraka zako.

Mungu akufanyie wepesi.
 
Back
Top Bottom