- Thread starter
- #21
Ukiona ndotoni unaitwa na mtu aliyekwisha kufa zamani,
Awe mamako, Babu ,dada, mjomba nk nk,
Jua ni maagano ya kiukoo unaletewa taarifa,
Ikiwa mtu huyo allikuwa mcha Mungu, unakumbushwa uiendeleze kazi aliyofanya akiwa hai, sababu, mtu akimtumikia Mungu, huwa amewawrka pia ndugu na watoto wake wote wamfuate Mungu.
Kadhalika, ikiwa Babu yako alikuwa mganga, sangoma, na akafa, akikujia ndotoni ,anakukumbusha agano ,ni mizimu ndiyo uionayo umevaa sura ya mtu huyo. Nashauri mkataze na ukimbilie Mungu.