Nimeota nmesoma mpaka chuo kikuu
Then nkarudishwa secondary o level form 2 ambako niliwakuta vijana ambao niliwaacha shuleni/nikiwapita vidato wao ndo wako form 2.
Mfano mimi nipo darasa la 17 wao niliwaacha darasa la 1 hivyo wananijua
Nilivyomaliza chuo ambako ni darasa la 20 nkarudishwa darasa la 10 hvyo walivyoniona wakawa hawaamini kuniona na kujiuliza imekuwaje maana shule nzma mtu mzma nlikuwa peke yangu.
Mda wa darasani mie nkafanya nayoyafnya nkatoroka nikiwa getini mwalimu mkuu akaniona nikaenda kwenye adhabu ya usafi na watoro wenzangu lakini nako pia nkamtoroka then ghafla nkastuka
Mtu yule ni WEWE.
Kusoma mpakka chuo kikuu, ni taarifa kuwa, WEWE ambaye ni Roho, una Kila kitu, una kila utimilifu ndani yako.
Ila Katika mwili, hatua zako zinarudishwa nyumma na wewe mwenyewe kushindwa kuconnect na Roho yako, MAISHA yako nna Mungu wako ambaye ndiye aliyeweka utimilifu ndani yako.
Yawezakuwa Katika mwili umeenda somea kitu ambacho sicho Mungu alichokipangia kitumike kukufanikisha. Ndio maana ukarudiahwa level za chini.
Rudi kuongeza MAISHA ya maombi, uko darasani Mungu akufundisha Ili ufukie utimilifu wako.
Ukizidi kufunga na kuomba na kumshukuru Mungu kwa sadaka, zaka na MAISHA ya utakatifu,
Atakuonuesha sehemu yako sahihi ya kutumika Ili ufanikiwe kwa haraka,
Nia ya Mungu kukupa kipawa au kazi, anataka ufanikiwe, ila lengo kuu ni ufalme wa Mungu uonekane ofisini au kazini KUPITIA WEWE.
Darasa ni kanisa,
Shule ni kanisa Hilo Hilo,
Mwanafunzi ni WEWE huyo huyo.
Na Shule ndio WEWE pia, maana mwili wako ni hekalu, ambamo Mungu hukaa, au anataka akae.
Akufundisha darasa la MAISHA Ili uone hatma yako uliyopewa tayari rohoni, itookee mwilini.
Ubarikiwe 🙏