Makofi ya leo bungeni, wabunge wapatiwe huduma ya kwanza

Makofi ya leo bungeni, wabunge wapatiwe huduma ya kwanza

Wabunge wa CCM na wale mamluki wengine, wanaifilisi timu nchi! Sioni kama wana tija yoyote ile. Yaani mpaka Rais ameamua kuwafundisha wajibu wao!

Wenyewe walishazoea utaratibu mpya na wa kipuuzi kabisa wa kuisifia tu serikali na Rais wake!
 
Sijui ni kuzidiwa na utamu? Au ni umafiki? Au ni sababu ya kupata ladha mpya!! Waitwao wabunge leo wa ccm na wale covid-19 walipigia makofi kila alichokisema mama
Kuna wakati hata hayakuhitajika lakini yalipigwa... Meza za bunge leo zimeipatapata na viganja vya waheshimiwa kama havijavilia damu sijui? Tutaona kesho kama kuna watakaoweza hata kushika lalamuView attachment 1760702
Hata akikutana anataka wajadili jinsi ya kufanya siasa zenye tija kwa nchi.

Maana yake baada ya kukutana hatutarajii kuwaona akina Lisu wakiponda Atcl, Sgr, bwawa la Nyerere kuwa ni miradi ya hovyo badala yake wataanza kusema hiyo ni miradi ya watanzania.

Kwa akili zao wanahisi mama ataenda kuwaruhusu kufanya maandamano kila siku.
 
Huyu jamaa hanaga furaha kabisa [emoji22]
FB_IMG_1619114027874.jpg

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Baadhi ya kazi adhimu za bunge ni kutunga Sheria, kujadili bajeti za wizara mbalimbali na kuikosoa serikali (Trust and Verify) katika nyanja mbalimbali za kiutawala wake.

Vivyo basi nilitegemea bunge liwe limesheheni lawyers, Economists, Auditors and Accountants etc.
Badala yake bunge limesheheni Vilaza wa darasa la saba na form four failures wasiojua chochote kuhusu Sheria, uchumi na Utawala.

Unafikiri viongozi wa dizaini hiyo wataleta chachu yeyote ya mabadiliko ya kiuchumi zaidi ya kuwa wapiga mapambio na vigelegele tu bungeni?

Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa taifa letu kuendelea kuona bado tunaingiza wabunge wenye sifa ya kujua kusoma na kuandika tu na tukibaki kuwategemea wafanye mabadiliko katika ulimwengu huu wa mapinduzi makubwa ya sayansi na teknolojia wakati hawana maarifa yeyote kuhusu Sheria, Uchumi na Utawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ni kuzidiwa na utamu? Au ni umafiki? Au ni sababu ya kupata ladha mpya!! Waitwao wabunge leo wa ccm na wale covid-19 walipigia makofi kila alichokisema mama
Kuna wakati hata hayakuhitajika lakini yalipigwa... Meza za bunge leo zimeipatapata na viganja vya waheshimiwa kama havijavilia damu sijui? Tutaona kesho kama kuna watakaoweza hata kushika lalamuView attachment 1760702
Walipiga makofi kote ila ilipofika kwenye Demokrasia yakakaa nzwiiii.Kimyaaa,hata Covid-19 hawakusikika.
 
Back
Top Bottom