Verse uliyo quote inaeleweka kabisaMpaka sasa kashafikia nusu ya kutumaliza au tambua Yesu anasema hiviMathayo 10:34
“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake,....
Hawajasema mambo ya sokoni ? Markets maana yake nini ?Hawakukutaadharisha wewe, walitaadharisha raia wao. Na katika sitetiment hiyo hakuna sehemu panazungumzia mambo ya sokoni kama ulivyoandika wewe
Verse uliyo quote inaeleweka kabisa
Verse uliyo quote inaeleweka kabisa
Maandiko yapo sawa wewe ndie unapotoshaLUGHA YA YESU
Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44) na vile vile mtu anatambulika kwa ulimi na lugha yake kwamba anazo khulka za aina gani?
Maana lugha ya mtu inaonesha masomo yake, tabia na khulka yake. Katika kitabu hiki tunampima Bwana Yesu Kristo sawa na maandiko ya Biblia.
Bila ya kupoteza muda wa wasomaji wangu, ningependa kuwaletea baadhi ya maneno na lugha ya Bwana Yesu aliyotumia katika uhai wake.
1. Wasioamini (wasio Waisraeli) wameitwa mbwa na nguruwe. (Mathayo 7:6).
2. Aliwaita watu wabaya: ”Enyi wazao wa nyoka” (Mathayo 12:34).
3. Mayahudi waliitwa: “Kizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).
4. Mayahudi waliitwa “Wazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).
5. “Ole wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki,” (Mathayo 23:16).
6. “Ole wenu viongozi vipofu.” (Mathayo 23:16).
7. “Enyi nyoka, wana wa majoka” (Mathayo 23:33).
8. “Watu wengine waliitwa mbwa.” (Mathayo 15:27).
9. Aliwaita manabii wenzake: “wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi.” (Yohana 10:8).
10. Aliwaita wanafunzi wake: ”Enyi kizazi kisicho amini, kilichopotoka.” (Mathayo 17:17).
11. Akamwambia Petro “Nenda nyuma yangu Shetani.” (Mathayo 16:23)
12. Akamwambia mama yake: “Ewe mwanamke nina nini nawe? (Yohana 2:4).
13. Akasema mama yangu ni nani na ndugu zangu ni akina nani? (Mathayo 12:48).
14. Siku ya Kiyama atawaita wahubiri Wakristo: “Nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi mtendao maovu.” (Mathayo 7:23).
Ndivyo mnavyodanganywa na Makardinali wenuMaandiko yapo sawa wewe ndie unapotosha
Tunadanganyana vipi na shida ipo kwako hauelewi maandikoNdivyo mnavyodanganywa na Makardinali wenu
Kwani nimeandika aya nyengine ambazo hazimo ndani ya biblia?Tunadanganyana vipi na shida ipo kwako hauelewi maandiko
Onyo linalenga raia wa kigeni na maeneo ni yale tu yanayopendelewa kutembelewa na raia wa kigeni then wewe unaibuka unasema" ni vipi tusiende sokoni kwasababu marekani katoa tahadhari! " we ni raia ulaya ama marekani?.Hawajasema mambo ya sokoni ? Markets maana yake nini ?
Taarifa ya ubalozi hii hapa:
"Locations frequented by U.S. citizens and other Westerners in Dar es Salaam and elsewhere in Tanzania continue to be attractive targets to terrorists planning to conduct attacks. Terrorist groups could attack with little or no warning, targeting hotels, embassies, restaurants, malls and markets, police stations, places of worship, and other places frequented by Westerners."
Onyo linalenga raia wa kigeni na maeneo ni yale tu yanayopendelewa kutembelewa na raia wa kigeni then wewe unaibuka unasema" ni vipi tusiende sokoni kwasababu marekani katoa tahadhari! " we ni raia ulaya ama marekani?.
Onyesha wapi marekani imesema" watanzania wasiende sokoni Kwasababu kunatishio la ugaidi" kama unavyosema wewe.
Tahadhari haikutolewa kwa watanzania bali raia wa kigeni.Tahadhari wazilenge huko huko kwao Marekani.
Watu wengi zaidi wamekufa wiki iliyopita huko Marekani kuliko Tanzania mwaka mzima by senselense violence.
Mass shootings, police brutality, street violence in the ghettos, hate crimes, school massacres.... you name it,
Ndo maana msemaji wa security organs Kamanda Misime akasema Watanzania, please ignore the noise!
Tahadhari haikutolewa kwa watanzania bali raia wa kigeni.
Huyo Misime unaemsema ni msema hovyo tu. Anataka kutuingiza watanzania kwenye insu isiyotuhusu.
Who is Magofuli and what was he achieved during of his tenure?.Ubalozi walipaswa ku share intelligence na security agencies za Tanzania ili tujaribu kuzuia matukio ikiwezekana.
Kamanda Misime hawashobokei wazungu. He is in the mold of John Pombe aliyekuwa anawapiga pini. Ndo maana msemaji wa Tanzania akaona hii taarifa ipuuzwe.
Mara ya mwisho tulipowanyima intelligence yetu ugaidi walilalamika.
MK254 mtetezi mmoja huyu kashafika ana uchungu kweli.
Who is Magofuli and what was he achieved during of his tenure?.
You are among of manipulated people who believed magofuli was their priest who would rescue them from poverty and agnorence of this country.
Unataka watu wakusanye intelligences then waigaiwie polisi yako as if they donated a dime to gather them.
Taarifa kama hizi hazitolewi kama usajili wa soka, utolewa kwa washirika. Ikiwa nipo wrong nipe ushahidi unaonyesha kuwa polisi wa Tanzania wana makubaliano na US kushare taarifa za kiintelijensia.
Am a citizen of United republic of Tanzania, bt am not the one among of the foollest citizens of united republic of Tanzana as ur ar!!Kama hatuna makubaliano ya ku share intelinjensia kwa nini walilalamika kwamba tumewanyima inteligence za Mkiru ???
Who is Magufuli?
5th President of the republic. And who are you ?
Ikiwa hujui utofauti wa "TAHADHARI" na "KULALAMIKA ni sahihi kabisa kuandika ulichokiandika.Kama hatuna makubaliano ya ku share intelinjensia kwa nini walilalamika kwamba tumewanyima inteligence za Mkiru ???
Who is Magufuli?
5th President of the republic. And who are you ?