Makomando wa Marekani waingia Somalia na kumuua mkuu wa magaidi wa IS

Mpaka sasa kashafikia nusu ya kutumaliza au tambua Yesu anasema hiviMathayo 10:34
“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake,....
Verse uliyo quote inaeleweka kabisa
 
Hawakukutaadharisha wewe, walitaadharisha raia wao. Na katika sitetiment hiyo hakuna sehemu panazungumzia mambo ya sokoni kama ulivyoandika wewe
Hawajasema mambo ya sokoni ? Markets maana yake nini ?

Taarifa ya ubalozi hii hapa:

"Locations frequented by U.S. citizens and other Westerners in Dar es Salaam and elsewhere in Tanzania continue to be attractive targets to terrorists planning to conduct attacks. Terrorist groups could attack with little or no warning, targeting hotels, embassies, restaurants, malls and markets, police stations, places of worship, and other places frequented by Westerners."
 
Verse uliyo quote inaeleweka kabisa

KWELI INAELEWEKA SANA

YESU ALILETA UPANGA

Sawa na mafundisho ya Biblia tumeelewa tayari kwamba Bwana Yesu alikuwa mtume kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Sasa tuone kwamba Bwana Yesu Kristo alileta kitu gani na alitumwa na nini?

Mwenyewe anatueleza lengo la kutumwa kwake, anasema:

1. Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani. La, sikuja kuleta amani, bali upanga. Kwa maana nalikuja kumfitinisha mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu. (Mathayo 10:34-35).

2. Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake waume na wa kike, naam na hata nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu. (Luka 14:26).

3. Je, mwadhani ya kwamba nimekuja kuleta amani duniani? Nawaambia la, sivyo, bali mafarakano. (Luka 12:51).

4. Bwana Yesu alitayarisha wafuasi wake kwa ajili ya kuleta fujo na vurugu na aliwaamrisha akawaambia:

“Lakini sasa mwenye mfuko na auchukuwe, na mwenye mkoba vivyo hivyo, naye asiye na upanga akauze joho lake akanunuwe upanga. (Luka 22:36).

5. Siyo maneno tu bali katika maisha yake alionesha hata kwa vitendo vyake kwamba alikuwa mtu wa fujo.

Biblia inasema kwamba:

“Yesu aliingia ndani ya hekalu akawafukuza wote waliokuwa wakiuza na kununua hekaluni. Akazipindua meza za wabadili fedha, na viti vyao waliokuwa wakiuza njiwa.” (Mathayo 21:12).

6. Akamwaga fedha za wenye kuvunja fedha, akizipindua meza zao. (Yohana 2:15).

7. Kwa sababu ya mafundisho yake, wanafunzi wake walikuwa wajeuri kiasi hiki kwamba walikuwa wakitumia upanga kwa ujasiri. Biblia inasema: ”Na tazama, mmoja wao waliokuwa pamoja ya Yesu akanyoosha mkono wake, akaufuta upanga wake, akampiga mtumwa wa kuhani mkuu, akamkata sikio.” (Mathayo 26:51).

Sasa mmesoma historia ya Bwana Yesu Kristo na mafundisho yake kuhusu kuleta fitina na fujo duniani na kuharibu amani ya watu.

Na inashangaza wakati baadhi ya Mapadri wanatangaza au inaandikwa juu ya ‘sticker’ za magari kwamba “There is peace in the blood of Jesus” yaani ipo amani katika damu ya Yesu.

Ilhali yeye alikuwa siyo mwenye kuleta amani duniani bali upanga, fujo na fitina.

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu (Masihi) alikuwa Nabii wa Mwenyezi Mungu na alitumwa kwa lengo maalum, lililotajwa kwa ulimi wake katika Qur'an Tukufu kwamba:

“Nisadikishaye yaliyo mbele yangu katika Taurati na kutoa habari njema ya Mtume atakayekuja nyuma yangu jina lake ni AHMAD.” (QUR'AN 61:7).

Pia sawa na mafundisho ya Qur’an Tukufu, nabii Isa a.s. alifungamanishwa na amani katika maisha yake yote: “Na amani iko juu yangu, siku niliyozaliwa na siku nitakayokufa na siku nitakayofufuliwa kuwa hai.” (19:34
 
Verse uliyo quote inaeleweka kabisa

LUGHA YA YESU

Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44) na vile vile mtu anatambulika kwa ulimi na lugha yake kwamba anazo khulka za aina gani?

Maana lugha ya mtu inaonesha masomo yake, tabia na khulka yake. Katika kitabu hiki tunampima Bwana Yesu Kristo sawa na maandiko ya Biblia.

Bila ya kupoteza muda wa wasomaji wangu, ningependa kuwaletea baadhi ya maneno na lugha ya Bwana Yesu aliyotumia katika uhai wake.

1. Wasioamini (wasio Waisraeli) wameitwa mbwa na nguruwe. (Mathayo 7:6).

2. Aliwaita watu wabaya: ”Enyi wazao wa nyoka” (Mathayo 12:34).

3. Mayahudi waliitwa: “Kizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).

4. Mayahudi waliitwa “Wazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).

5. “Ole wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki,” (Mathayo 23:16).

6. “Ole wenu viongozi vipofu.” (Mathayo 23:16).

7. “Enyi nyoka, wana wa majoka” (Mathayo 23:33).

8. “Watu wengine waliitwa mbwa.” (Mathayo 15:27).

9. Aliwaita manabii wenzake: “wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi.” (Yohana 10:8).

10. Aliwaita wanafunzi wake: ”Enyi kizazi kisicho amini, kilichopotoka.” (Mathayo 17:17).

11. Akamwambia Petro “Nenda nyuma yangu Shetani.” (Mathayo 16:23)

12. Akamwambia mama yake: “Ewe mwanamke nina nini nawe? (Yohana 2:4).

13. Akasema mama yangu ni nani na ndugu zangu ni akina nani? (Mathayo 12:48).

14. Siku ya Kiyama atawaita wahubiri Wakristo: “Nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi mtendao maovu.” (Mathayo 7:23).
 
Maandiko yapo sawa wewe ndie unapotosha
 
Hawajasema mambo ya sokoni ? Markets maana yake nini ?

Taarifa ya ubalozi hii hapa:

"Locations frequented by U.S. citizens and other Westerners in Dar es Salaam and elsewhere in Tanzania continue to be attractive targets to terrorists planning to conduct attacks. Terrorist groups could attack with little or no warning, targeting hotels, embassies, restaurants, malls and markets, police stations, places of worship, and other places frequented by Westerners."
Onyo linalenga raia wa kigeni na maeneo ni yale tu yanayopendelewa kutembelewa na raia wa kigeni then wewe unaibuka unasema" ni vipi tusiende sokoni kwasababu marekani katoa tahadhari! " we ni raia ulaya ama marekani?.
Onyesha wapi marekani imesema" watanzania wasiende sokoni Kwasababu kunatishio la ugaidi" kama unavyosema wewe.
 
Tahadhari wazilenge huko huko kwao Marekani.

Watu wengi zaidi wamekufa wiki iliyopita huko Marekani kuliko Tanzania mwaka mzima by senselense violence.

Mass shootings, police brutality, street violence in the ghettos, hate crimes, school massacres.... you name it,

Ndo maana msemaji wa security organs Kamanda Misime akasema Watanzania, please ignore the noise!
 
Tahadhari haikutolewa kwa watanzania bali raia wa kigeni.
Huyo Misime unaemsema ni msema hovyo tu. Anataka kutuingiza watanzania kwenye insu isiyotuhusu.
 
Ubalozi walipaswa ku share intelligence na security agencies za Tanzania ili tujaribu kuzuia matukio ikiwezekana.

Kamanda Misime hawashobokei wazungu. He is in the mold of John Pombe aliyekuwa anawapiga pini. Ndo maana msemaji wa Tanzania akaona hii taarifa ipuuzwe.

Mara ya mwisho tulipowanyima intelligence yetu ugaidi walilalamika.
 
Who is Magofuli and what was he achieved during of his tenure?.
You are among of manipulated people who believed magofuli was their priest who would rescue them from poverty and agnorence of this country.
Unataka watu wakusanye intelligences then waigaiwie polisi yako as if they donated a dime to gather them.
Taarifa kama hizi hazitolewi kama usajili wa soka, utolewa kwa washirika. Ikiwa nipo wrong nipe ushahidi unaonyesha kuwa polisi wa Tanzania wana makubaliano na US kushare taarifa za kiintelijensia.
 
Tunamshukuru sana Mmarekani, hakika bila yeye hawa Mujahidina wangesha tusilimisha kwa nguvu.

Ili wote tuwe Waislamu na tutamke La illah Ila Allah, Muhammadi Rasuruli Allah.

Yaani haya maneno ni ya kumkufuru Mungu.

Ashadu an la ilaha illa illa-ilah, wa ashadu anna muhammadan rasul ullah.”
أشدو أن لا إله إلا الله ، وشدو أنا محمدان رسول الله ".⁰

Shenz kabisa.

Au wangesha tuchinja sisi tusio penda kuwa Waislamu.

Kusema "Hakuna Mungu" ni kukufuru.
Inatakiwa isemwe.

Kuna Mungu ambaye ni ..........
Sio Hakuna Mungu ila ..........

Mungu haongelewi kwa Negative.
Allah ni mtu mjanja mjanja flani hivi.[emoji848]
 
MK254 mtetezi mmoja huyu kashafika ana uchungu kweli.

Hii inashangaza kidogo - kama kweli jeshi la Merikani lilitonywa na informer kwa nini kazi hii hawakuiachia jeshi la Kenya waka wamaliza Al Shabaab waliokuwa wamejificha mapangoni kamakweli habari hizo zina ukweli wowote maana hatukuwahi kuonyeshwa picha wala video clip za tukio hilo - kwani kuna siri gani - si waonyeshe pango na miiili ya Al Shabaab walio uwawa hili hilo liwe fundisho kwa vikundi vinavyo plan kufanya ugaidi - wako kimya kabisa - why?
 
Who is Magofuli and what was he achieved during of his tenure?.
You are among of manipulated people who believed magofuli was their priest who would rescue them from poverty and agnorence of this country.
Unataka watu wakusanye intelligences then waigaiwie polisi yako as if they donated a dime to gather them.
Taarifa kama hizi hazitolewi kama usajili wa soka, utolewa kwa washirika. Ikiwa nipo wrong nipe ushahidi unaonyesha kuwa polisi wa Tanzania wana makubaliano na US kushare taarifa za kiintelijensia.

Kama hatuna makubaliano ya ku share intelinjensia kwa nini walilalamika kwamba tumewanyima inteligence za Mkiru ???

Who is Magufuli?

5th President of the republic. And who are you ?
 
Am a citizen of United republic of Tanzania, bt am not the one among of the foollest citizens of united republic of Tanzana as ur ar!!
 
Kama hatuna makubaliano ya ku share intelinjensia kwa nini walilalamika kwamba tumewanyima inteligence za Mkiru ???

Who is Magufuli?

5th President of the republic. And who are you ?
Ikiwa hujui utofauti wa "TAHADHARI" na "KULALAMIKA ni sahihi kabisa kuandika ulichokiandika.

NUKUU:-
" Who is Magufuli?

5th President of the republic. And who are you ?".

I AM ME, MYSELF AND I. WHAT DO YOU WANT TO SAY?
 
Back
Top Bottom