Makomando wa Marekani waingia Somalia na kumuua mkuu wa magaidi wa IS

Makomando wa Marekani waingia Somalia na kumuua mkuu wa magaidi wa IS

Apo sawa kwa hiyo unataka maneno exactly kama ulivyo weka wewe Yesu awe ameyasema
unajifundisha kiswahili\

Wapi kwenye biblia yesu alisema mimi ni Mungu na mniabudu mimi ??
 
Nimekuuliza unataka maneno exactly kama ulivyo andika wewe au ?
Mimi nataka unijibu , niwapi Yesu alisema Mimi yesu ni Mungu au alisema mniabudu mimi ?? au kiswahili hukielewi ??
 
Mimi nataka unijibu , niwapi Yesu alisema Mimi yesu ni Mungu au alisema mniabudu mimi ?? au kiswahili hukielewi ??
Swali jepesi Sana

Unataka Yesu awe ametamka maneno exactly kama ulivyo andika wewe au ?

Yani Yesu aseme "Mimi Yesu ni Mungu" au ata tofauti na Yako utakubali?
 
Jibu kwanza hapo , Kwani Yesu si kiumbe ??
Kabla hujauliza swali tumia mda kujifunza kwanza , soma nature ya Mungu wa wakristo kwanza , na epuka kuingiza nature ya mungu wako kwa Mungu wa wakristo
 
Swali jepesi Sana

Unataka Yesu awe ametamka maneno exactly kama ulivyo andika wewe au ?

Yani Yesu aseme "Mimi Yesu ni Mungu" au ata tofauti na Yako utakubali?
Kwani yule Mungu aliyetamka kwenye agano la kale kwa kusema Mimi ni Mungu alizunguka mbuyu ? Sasa kama kweli yeye ni Mungu lete Aya anasema Mimi Yesu Ni Mungu na mniabudu mimi
 
Kabla hujauliza swali tumia mda kujifunza kwanza , soma nature ya Mungu wa wakristo kwanza , na epuka kuingiza nature ya mungu wako kwa Mungu wa wakristo
Nature soma wewe halafu jibu Jee Yesu si kiumbe ?
 
Now i understand why they issued a security alert earlier this week.
Hamna lolote.

Mbona wameiondoa kenya ambayo ipo karibu na somalia kuliko sisi baaada ya kulalamika wakatubakiza sisi.

Sisi tunazembea mambo mengi tu.
 
Mimi nimetulia nakunywa supu ya kuku, mnaoumia ni nyinyi mnaodanganywa na wazungu mkaukubali uongo wao na kufika mpaka mnadanganywa eti mtu Mzungu anayekunya ni Mungu
Ona sasa unavyo angaika , nimekuuliza swali jepesi
Ni nani kakwambia Mungu wa wakrito ni mtu ?
 
Kwani huyo mnayesema Yesu ni Mungu si mtu au ni jini?
Ndio maana nakwambia kabla hujaja na madai kasome kwanza

Na nataka ujibu nani kakwambia Mungu wa wakristo ni mtu ? Yani ayo madai umetoa wapi?
 
Ndio maana nakwambia kabla hujaja na madai kasome kwanza

Na nataka ujibu nani kakwambia Mungu wa wakristo ni mtu ? Yani ayo madai umetoa wapi?
Kwani unaamini Yesu si Mungu?
 
Kwanini nakuuliza swali na wewe badala ujibu unauliza swali?

Nani kakuambia Mungu wa wakristo ni mtu ? Au umejiambia mwenyewe?
Jibu wacha kukimbia kimbia maswali na dini yenu ya kubabaisha

Kwani unaamini Yesu si Mungu?
 
Jifunze kujibu
Nani kakwambia au nani kakuaminisha Mungu wa wakristo ni mtu ?
Jibu wacha kukimbia kimbia maswali na dini yenu ya kubabaisha

Kwani unaamini Yesu si Mungu?
 
Back
Top Bottom