Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

Mchina anaanza kumzidi USA kwenye Technology na siyo ubishi tena.
Vikwazo vyote walivyomuekea kwa sasa vinaanza kukosa maana kwani Mchina kashaanza kumzidi kwenye Technology kwa speed kubwa. Magari ya UMEME kwa sasa Mchina hana mpinzania hadi TESLA wameamua kuwa watajenga magari ya Hydrogen Gas na siyo ya umeme tena.
Telecominication na AI ndiyo Mchina kashawaacha mbali mno.

Kwa sababu Mchina hashikiki kwa Vikwazo, Inabidi kwa kipigo.
Nadhani kama walivyofanya Ukraine ilianzishe na Russia, ndivyo watakavyofanya kwa Taiwan ilianzishe na China na wao wawe pembeni wakisaidia.

IRAN hataki vita kwa sasa ila kwa uhakika anajipanga vizuri sana. Ngoja tuoane.

 
Vita ya china na Taiwan hitatokea maana itaparalized uchumi wa dunia kabisa. Uchumi wa china na marekan zimeingiliana kiasi kwamba kila mmoja anamtegemea mwenzie kiuchumi
 
Hivi hizi story nani huwa anawadanganya?

Hizi ni kauli walizitumia white supremacists kama ku klux clan ili kujenga chuki kwa wayahudi na kuwaua.... Ni kauli za kibaguzi na ki binafsi...

Ok sema kuna hao wayahudi unafikiri watafanya mambo kwa interests za jews? hakuna mwananchi atakubali...

UK juzi hapa si walipata PM Muhindi, utasema kila akisema India isaidiwe UK gov inafanya?

US ina mabunge, ina democracy inaendeshwa kikatiba na uongozi wa kisheria , huwezi peleka siasa zenu za kuiba kura na kuua wapinzani, kuiba mali za umma na kuua wanachi hovyo...

Hakuna uongozi wa kiyahudi US hizo story za kwenye kahawa,
 
Ule ukanda hakuna anaetaka vita na mchina wale ni kama wa vietnam tu,,,,,,kwanza population yao ni kubwa sana,,,,ukienda kupigana na china labda uwe na sababu nzito na ya msingi hadi muingie vitani ila hamna nchi inataka kuingia vitani na china kwa visababu vidogo visivyo na maana,,,Trump mwenyewe lengo lake akiingia madarakani ni kuijenga Marekani upya kwahio hatakua na focus na vita tena, na hapo mashariki ya kati itabidi tu awakubalie waisrael waendeleze kipondo maana kwenye kampeni zake kawatumia sana wayahudi kama kete yake ya kuingia ikulu na alishawaambia wakitaka kushinda vita mashariki ya kati basi wayahudi wote wamchague yeye,,,,,,ngoma tayari deal done kwa sasa ni kusikilizia tu muda ufike,,,,,labda Kamala ashinde urais Ukraine vita inaweza ikaendelea ila akishinda Trump Ukraine vita inaisha,,mrusi atamuachia Marekani aendelee na interests zake mashariki ya kati yeye na China watafocus zaidi na BRICS kwahio hata hio vita na Taiwan hilo wazo kwa sasa halipo kabisa zaidi tu labda waendelee kupiga drills tu ili kujambishana baas,,,ila Taiwan kwa marekani kwa sasa hamna interest kubwa kuingia vitani kama wakati ule maana mchina Chip wars anaonekana ameshatoboa
 
Trump anataka kupigana na Mchina,
USA haitaweza kupigana Vita ya Middle East na Israel, RUssia na China kwa mpigo.
Trump anataka vita mbili ziishe na abaki na Mchina peke yake.

USA asipofilisika, Wachina na Waarabu watakiona cha Mtema Kuni.
USA hawezi mpiga china, ndiyo itakuwa mwisho wa U-superPower wake.
 
Uongo.

Marekani haitawaliwi na Wayahudi.

Watu mnapenda sana hizi stori za Wayahudi na kuwafanya waonekane kama kwamba wao ni species tofauti kabisa na sisi wengine.

Marekani haitawaliwi na Wayahudi. Acheni uongo wenu bana.
 
💯%!

Nami nimemjibu along the same lines kabla hata sijaona ulichoandika.

Kumbe Nawe ulikuwa na fikra kama zangu tu.

Hata Hitler kila kitu alikuwa anawalaumu Wayahudi tu.

Ujinga ujinga tu.
 
Israel waishie hapo imetosha... Wameonyesha ubora kwenye intel na airforce wakisaidiwa na US/CIA / US Airforce, wakaushe sasa, ground invasion watapigwa wachakae... Huo ndio ukweli....
Kwa sasa Hizbullah haiwezi kuanzisha mashambulizi yeyote dhidi ya Israel kutokana na hali wanayo pitia ,labda Israel ianzishe mashambulizi ya ardhini ndo watarazimika kupigana ili kujilinda.

Si kwamba hawawezi kuanzisha mashambulizi kwa sababu ya kuuliwa viongozi wake la hasha ,kuuliwa viongozi wake sio ishu kubwa kwa sababu viongozi wote walio uawa walikuwa na manaibu wao watakao kaimu nafasi zao.
Kitakacho wafanya wasite ni pigo la kijasusi walilo lipata, kwa sasa hawaaminiani wanacho hofia ni kuanzisha mashambulizi kwa sasa yatafeli kwa sababu wamesha jua kuwa ndani ya kundi lao kuna rundo la mapandikizi.
Hivyo kwa sasa kuishambulia Israel sio kipaumbele chao kwa sasa ,bali kipaumbele chao ni kuusaka mtandao wa kijasusi wa Israel kwenye kundi lao na kuiteketeza.

Siwezi kuwalaumu Hizbullah kwa hichi kilicho tokea kwa sababu kwenye medani ya kijasusi na kijeshi suala la mapigo ya kushutukiza huwa ni kawaida kabisa na yamesha zitokea nchi nyingi tena zenye uwezo mkubwa.
Mfano kwenye pigo la kijasusi ililo lipata Israel October 7 iwapo Hamas lingekuwa ni jeshi lililo kamilika ingejikuta kwenye wakati mgumu ambao hajawahi kuushuhudia.

Pia matukio haya yatamzindua huyu rais mpya wa Iran anaye jifanya kuwa na misimamo soft na kujipendekeza mbele ya nchi za Magharibi, bila kujua nchi za Magharibi zimejaa unafiki linapo kuja suala la masilahi.

Na akiendelea na hii misimamo yake hata kwenye hayo madaraka hatodumu.
 
Mkuu kuna sehemu niliandika wazo sawa na wewe...
Nimeingia social medias za Iran huko naona wanamlaumu rais wao, wengine wakisema yeye ndiye chanzo cha Nasrallah kufariki.
 
Hizo zote ni ziada muhimu kujua Wanasayansi wengi wa Marekani ni Waisrael
Ebu tutajie wanasayansi 10 wa Israel wanao tegemewa na Marekani?
Maendeleo ya kiteknolojia ya Marekani yamechangiwa na jamii mbali mbali.
Alafu kingine jua kutofautisha Waisrael na wayahudi ni vitu viwili tofauti Israel ni taifa na uyahudi ni asili.
So kila myahudi ni raia wa Israel na si kila raia wa Israel ni myahudi.
 
💯%!

Nami nimemjibu along the same lines kabla hata sijaona ulichoandika.

Kumbe Nawe ulikuwa na fikra kama zangu tu.

Hata Hitler kila kitu alikuwa anawalaumu Wayahudi tu.

Ujinga ujinga tu.
Ye hajui hizo kauli ni za kuwaponza wayahudi, ye anafikiri ni sifa anawapa...

Ni sawa mtu aseme serikali ya Rwanda imejipenyeza Tanzania na inaendesha kila kitu, hapo kama hutafuti chuki baina ya waTanzania na Rwandans ni nini?

Hata hapa Tz kuna haya mambo yalianza kuzagaa kwamba Paul Kagame ana endesha gov ya Tanzania, maoni mengi ya wadau humu walikuwa wakichukia sana,kutusi na kupinga kwa nguvu....
 
Tunnels za Hamas kwa Hezbollah zinaingia mara 10, jamaa wana tunnels karibu Lebanon yote...
Mlianza kusema Nasrallah Sio Haniyeh wa Hamas. Baada ya wote kupukutishwa mnasema hezbolah Sio Hamas. Wakati masterminds na Wakuu wa Hezbollah wanaendelea kupukutika. Waliobaki hata robo hawafikiki. Ndio maana waziri mkuu wa Lebanon kakimbilia UN ili Beirut yote isigeuzwe vifusi kama Gaza. Wapo tayari jeshi la Lebanon lichukue maeneo yanayokaliwa na Hezbollah 🤔
 
Mkuu,
Karibu West Europe yote imewekwa na hao hao Wayahudi wa USA. Noana vitu vingi hufahamu, POLE.

Ntakupa vitu kadhaa ukasome na ukimaliza, hutakiwa Mtu yuleyule.
Achana na story za kusema jamaa wanasingiziwa. Jamaa ni Wababe zaidi ya unavyoweza kuota.

Kamsome Mtu anaitwa GEORGE SOROS hadi Mandela aliomba asije kuishambulia South Africa.
Kasome haya madude mawili yanaitwa Blackrock & Vanguard.
Ukiwa mvivu kusoma, kasome hii kitu halafu uje tuongee:
The American Israel Public Affairs Committee - AIPAC . Hawa jamaa ndiyo Viongozi wote wa WEST wanakimbilia kwenda KUJIUZA. Usipoenda wewe, wataenda wenzio na Uchaguzi Watashinda.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…