Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Mchina anaanza kumzidi USA kwenye Technology na siyo ubishi tena.
Vikwazo vyote walivyomuekea kwa sasa vinaanza kukosa maana kwani Mchina kashaanza kumzidi kwenye Technology kwa speed kubwa. Magari ya UMEME kwa sasa Mchina hana mpinzania hadi TESLA wameamua kuwa watajenga magari ya Hydrogen Gas na siyo ya umeme tena.
Telecominication na AI ndiyo Mchina kashawaacha mbali mno.
Kwa sababu Mchina hashikiki kwa Vikwazo, Inabidi kwa kipigo.
Nadhani kama walivyofanya Ukraine ilianzishe na Russia, ndivyo watakavyofanya kwa Taiwan ilianzishe na China na wao wawe pembeni wakisaidia.
IRAN hataki vita kwa sasa ila kwa uhakika anajipanga vizuri sana. Ngoja tuoane.

Trump hawezi akapigana na Mchina watatoleana tu maneno katikati yao refa ni mrusi......Mchina kaamua kufocus zaidi na Africa hio Taiwan hata akipigana vita faida yake sio kubwa kama akiwekeza zaidi Africa ,,,,,,,ila mwarabu katolewa kafara wazungu sio wa kuwaamini,,,,,makobazi walijua mrusi au china wataingilia ila jamaa wamebaki kuzuga tu kutoa makalipio huku kobazi wakichezea kipondo.......Mchina sahv anajiweka sawa na Mhindi wamalize ile ishu yao ya mpaka jamaa nguvu nyingi wanaipeleka BRICS na huko ndo China anaona kuna muelekeo wa yeye kua superpower,,,,Taiwan alitaka kupigana sababu ya teknolojia ya kutengeneza chip za simu na vifaa vingine vya kielektronic ila hadi sasa ameshapata njia zake na ndo maana huawei imefufuka tena,,,kwahio interest ya China kuingia vitani na Taiwan imepungua kabisa Mchina kwa sasa anafocus kua superpower na sio kupigania kakisiwa ambacho impact yake kwa sasa ni ndogo