Hata mimi nimewapenda ni kweli wamekaa kikomandoo umejazia mbaya na wanaonekana ni wakakamavu. Utafikiri ni kwenye movi Tanzania tunatisha kwenye nimeamini tunaweza kumchakaza Kagame.
Natazama maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar, hii mikomandoo imeshiba, miili ka ya Goliati, mmh burudani kutazama na ni mahili ktk maonesho! Sipati picha ukikutana nayo in battle field. Safi sana makomandoo wetu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hata mimi nimewapenda ni kweli wamekaa kikomandoo umejazia mbaya na wanaonekana ni wakakamavu. Utafikiri ni kwenye movi Tanzania tunatisha kwenye nimeamini tunaweza kumchakaza Kagame.
mwambie mkuu laiti angejua mafunzo wanayopitiaa kufikia pale angekaa kimya.Siyo kukashifu ukiwa nyuma ya keyboard;Kawachokoze uone hizo nyama za kwenye sambusa zinavyofanya kazi.
Mbona Anazo Nyingi Kushinda pengine hata Zetu Hizo? Huyo ndiyo Kijana wa Marehemu Mama Esteeri Kokundeka na Marehemu Mzee Amos Kaguta. Zake Nyingi Sasa Anazipitishia Nchini Kenya kwa Swahiba Wake Uhuru haswa Akipewa Kutoka Korea Ya Kaskazini na Urusi. Sana Sana Amekuja Kutusanifu tu ila Kwa Kuwa hata na Yeye ni Jasusi Tena Mzuri tu Aliyeibuliwa hapa hapa Alipokuwa Anaishi Pale Muhimbili Ujio Wake ni Wa Kutusoma Kijeshi. Nawaheshimu na Nawakubali Sana Watutsi hawa Wawili Yoweri Museveni na Paul Kagame!
mmmh,usichokijua ni ucku wa giza nene
Kuna kitu sikuelewa pale,, wale walikuw makomandoo au wale mabaunsa wao wanaong' oaga watu kucha, memo, na macho???? Kama vile wamekuja kuwakisha kina CC
Wakati mkifuatilia mapinduzi ya zanziba polisi wa arusha sana sana wa kituo cha usa fuatilieni jambazi lilopigwa risasi na polisi mpakani maeneo ya holili likatoroka liko arusha hospitali ya sharak linatibiwa kwa usiri mkubwa sana kwani amegawa hela kwa daktari na manerse(sisters) ili wasipeleke repot polis (hospitali iko 1km kutokea arusha mjini kabla ujafika makumira university)
Duh umepiga madongo sana .......well, sidhani km jamaa waliwakilisha vyema....sikupenda sana zoezi la kupiga matofali kwa kichwa....hata km inawezekana ikibidi ila si vizuri sana kufanya mara nyingi, km ngumi tuu huaribu ubongo km tuonavyo kwa mohamed Ali....ni vipi sasa hawa jamaa kutakiwa Intelligent halafu wanachezea ubongo ktk show zisizo na ulazima kihivyo.Acha Hizo Kuwa Komando Siyo mpaka Uwe Baunsa! Je Hujawaona Wale Wawili ambao ni Wembamba tu? Ukomandoo ni Zaidi Ya Ufikirivyo au Uhisivyo. Fitness, Flexibility na Intelligence ndiyo Vigezo Vikuu na Umbile Siyo muhimu sana Sema tu Wengi Wao Wanapenda Mno Kupiga Nondo na Usisahau Kuwa hata Vifaa Vyao vya Kazi Vingi ni Vizito na Vigumu Mno Hivyo kwa Wao Kujazia ni Kama Mtani Wangu Mhaya na Mwanamke au ni Kama Mtani wangu Muha na Uchawi au Ni Kama Watani Zangu Warangi na Wanyiramba Kwa Kupenda Nanihiiiiii....................................!!!!!!
Haki hii ndo maana halisi ya JWTZ mkuu umetisha
Wakati mkifuatilia mapinduzi ya zanziba polisi wa arusha sana sana wa kituo cha usa fuatilieni jambazi lilopigwa risasi na polisi mpakani maeneo ya holili likatoroka liko arusha hospitali ya sharak linatibiwa kwa usiri mkubwa sana kwani amegawa hela kwa daktari na manerse(sisters) ili wasipeleke repot polis (hospitali iko 1km kutokea arusha mjini kabla ujafika makumira university)
Hivi wale uzeeni watafika kweli? na kama watafika watakuwaje? maana kupigwa tofali la kichwa kisa ubishoo!! kwan wakipigwa risasi haitapita? maana vitani hakuna matofali ila ni risasi!