Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
Mechi 8 za mwisho ndio zinaamua bingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa changu kinagoma kuclick kuwa EPL inaenda Anfield
AmenLiverpool we are European Champion
and coming EPL champion
take that to the bank...
Kichwa changu kinagoma kuclick kuwa ManU ataenda kucheza futuhi tenaKichwa changu kinagoma kuclick kuwa EPL inaenda Anfield
Ulisema pepe atafikisha points 120 matumaini BADO yapo? Pepe huyu huyu anayefungwa HADI na man utd ya ole? TENA nyumbani kwakeWell done Pep
Atafikisha point 100Ulisema pepe atafikisha points 120 matumaini BADO yapo? Pepe huyu huyu anayefungwa HADI na man utd ya ole? TENA nyumbani kwake
Mkuu uwe unaangalia na hoja ya kuunga mkononaunga mkono hoja!
Ni kweli akiwa anakula maandazi KILA siku ndani ya wiki atafikisha maandazi 100Atafikisha point 100
MECHI ZILIZOBAKI NI NYINGI SANA ZIKO 22 ZIDISHA KWA 3 UNAPATA 66 ONGEZA NA 32 ALIZO NAZO KWA SASA ZINAKUWA 98. HAZIFIKI 100 LAKINI NI POINT AMBAZO TIMU YOYOTE IKIZIPATA INAWEZA KUWA BINGWA NA MAN. CITY UWEZO NA UZOEFU HUO ANAO. PENGINE TUSEME CHOCHOTE BAADA YA MECHI 30 KUCHEZWA.Ni kweli akiwa anakula maandazi KILA siku ndani ya wiki atafikisha maandazi 100
Haiwezekani na haitawezekana mechi zote 22 zilizobakia man city ashinde zote BILA sare au kupigwa haiwezekani hata kidogo hata liver hawezi kufanya hivo,unajua Jana city alipigwa akiwa nyumbani kwake? City kashapoteana hana jipya msimu huu utd hii ni ya kumfunga city nyumbani? Usikariri ya msimu uliopita tunazungumzoa msimu huuMECHI ZILIZOBAKI NI NYINGI SANA ZIKO 22 ZIDISHA KWA 3 UNAPATA 66 ONGEZA NA 32 ALIZO NAZO KWA SASA ZINAKUWA 98. HAZIFIKI 100 LAKINI NI POINT AMBAZO TIMU YOYOTE IKIZIPATA INAWEZA KUWA BINGWA NA MAN. CITY UWEZO NA UZOEFU HUO ANAO. PENGINE TUSEME CHOCHOTE BAADA YA MECHI 30 KUCHEZWA.
Man U jana walikuwa tactically superior, na hiyo inatokea once in a while. Wilidefend vizuri sana na kushambulia vizuri sana. They deserved to win.Haiwezekani na haitawezekana mechi zote 22 zilizobakia man city ashinde zote BILA sare au kupigwa haiwezekani hata kidogo hata liver hawezi kufanya hivo,unajua Jana city alipigwa akiwa nyumbani kwake? City kashapoteana hana jipya msimu huu utd hii ni ya kumfunga city nyumbani? Usikariri ya msimu uliopita tunazungumzoa msimu huu
Guardiola sucksMkuu uwe unaangalia na hoja ya kuunga mkono
Pep huyu huyu ndio mlimwamini kiasi hicho
Huyu shetani kila ataetaka kumgonga anagonga hawa jogoo si watapiga nyingi
Aa11aaHuyu shetani kila ataetaka kumgonga anagonga hawa jogoo si watapiga nyingi