Makombe yajayo ya EPL bado yapo mikononi mwa Guardiola

Huyu shetani kila ataetaka kumgonga anagonga hawa jogoo si watapiga nyingi
 
Pep akiona huu uzi atafurahi sana mana unampa matumaini
 
Ni kweli akiwa anakula maandazi KILA siku ndani ya wiki atafikisha maandazi 100
MECHI ZILIZOBAKI NI NYINGI SANA ZIKO 22 ZIDISHA KWA 3 UNAPATA 66 ONGEZA NA 32 ALIZO NAZO KWA SASA ZINAKUWA 98. HAZIFIKI 100 LAKINI NI POINT AMBAZO TIMU YOYOTE IKIZIPATA INAWEZA KUWA BINGWA NA MAN. CITY UWEZO NA UZOEFU HUO ANAO. PENGINE TUSEME CHOCHOTE BAADA YA MECHI 30 KUCHEZWA.
 
Haiwezekani na haitawezekana mechi zote 22 zilizobakia man city ashinde zote BILA sare au kupigwa haiwezekani hata kidogo hata liver hawezi kufanya hivo,unajua Jana city alipigwa akiwa nyumbani kwake? City kashapoteana hana jipya msimu huu utd hii ni ya kumfunga city nyumbani? Usikariri ya msimu uliopita tunazungumzoa msimu huu
 
Man U jana walikuwa tactically superior, na hiyo inatokea once in a while. Wilidefend vizuri sana na kushambulia vizuri sana. They deserved to win.
 
Back
Top Bottom