Makombora ya Marekani yatumika kuipiga Crimea, Urusi yamwita balozi wa Marekani, yasema italipa kisasi!

Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.

Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.

Usicheze na marekani
 
Kama umesoma hiyo habari vizuri, Mrusi anasema kwenye hili Marekani na Ukraine kwenye kulipa kisasi wote ni target moja.

Ila sidhani kama atathubutu kupiga ndani ya US. I don’t think so!
ujue huu ndio ubaya wa proxy war, watatafuta namna ya kumpa kipigo US kwa kutumia proxy kama yeye anavyofanya!

hii dunia bila nchi ya kishetani kama US ingekua sehemu salama sana, jamaa anapenda sana ubabe utadhani tupo enzi za babeli au dola la warumi
 
Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.

Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.

Usicheze na marekani
Bora iwe hivyo.
 
Miaka ya tisini, Bill Clinton na Borris Yelstin walikuwa na mpango wa kuondoa silaha za Nyuklia. Baada Yelstin kufa na Putin kushika madaraka plan yote hiyo ikafa na Katiba ya Urusi ya presidential term limit mbili nayo ikabadilika na kuruhusu rais wa maisha.
aliyékua wa kwanza kujitoa kwenye mikataba ya aina hio ni nani?

btw, kama hufahamu kwamba mpenda fujo namba moja ni US basi pole
 
Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.

Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.

Usicheze na marekani
West wamemuingilia kubwa jinga putinya, putinya linalialia kw maumivu
 
Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.

Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.

Usicheze na marekani
Sawa msemaji wa White House. Tunanshuru kwa taarifa. Akikamatwa tu, unijulishe faster! Kuna buku yako hapa ya soda.
 
Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.

Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.

Usicheze na marekani
Amka haraka au la utakata gogo kwenye kitanda. Hiyo onaishia kwenye ndoto tu.

Hakuna Kiongozi yeyote dunia hii anaweza kumzidi maarifa ya kijeshi na kikachero Vladmir Putin. Putin is ruling the world.
 
Back
Top Bottom