Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Ndio maana yake! Dikteta mpuuzi kweli, anataka yeye apige tu bila kupigwa😁😁Kama kupiga ndani ya Ukrain ni halali basi kupiga ndani ya Urusi haiwezi kuwa haramu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana yake! Dikteta mpuuzi kweli, anataka yeye apige tu bila kupigwa😁😁Kama kupiga ndani ya Ukrain ni halali basi kupiga ndani ya Urusi haiwezi kuwa haramu.
Israel anamuogopa Hezbollah wakati mpaka sasa hivi ameua zaidi ya wapiganaji 400 wa Hezbollah ikiwa ni pamoja na viongozi waandamiziMimi niko na Putin lakini na muona anasita sana kuchukua action, dawa ya US na Israel ni kuwapelekea moto tu ndio lugha wanayo ifahamu.
We huoni US na Israel wanavyo muogopa Iran, sababu Iran akisema nitafanya atafanya kweli.
Huoni Israel anavyo muogopa Hezbullah hataki kuingia full war anaona bora tuendele hivi hivi nampiga kidogo na yeye ananipiga kidogo 😄
Putin nimemuona fala wanaume ni Afghanistan, Iran, Hezbullah, Al Houth hawa US anawajua music wake ndo mana anamuambia shoga yake usisogee Lebanon mimi sina uwezo wa kukusaidia.
Us alipokea kichapo pale Ain Al Asad, kule Iraq kwenye base yake, mpaa leo anaogopa mziki wa Iran.
View: https://youtu.be/3yNvI5vJ0Y0?si=15E4RRvPOSWW_4aw
Kwa mazingira yaliyopo kam Rusia hatakuwa na busara akaacha kuipokonya Ukraine eneo lake majimbo 4 vita kati ya Russia na NATO italipuka na wote watapoteza vita hiyo Nato atateketea na Rusia itateketea mazima , USA amebanwa kiasi cha kushindwa kuvumilia. Kitendo cha kumsapoti Ukraine halafu aporwe ardhi yake nchi nyingi zitamkimbia USA na kujiunga na Rusia, maana yake USA ameshindwa kulinda usalama wa nchi hizo,Sijui ni kivipi Russia watalipa kisasi kwa marekani kama walivyosema mara baada ya makombora ya marekani kutumiwa na Ukraine kushambulia Crimea ambayo tayari iko chini ya himaya ya Urusi tokea 2014. Habari zaidi…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilimwita balozi wa Marekani Jumatatu kupinga kile inachosema ni utumiaji wa makombora ya hali ya juu yaliyotengenezwa na Marekani katika shambulio la Ukraine dhidi ya Crimea inayokaliwa na Urusi ambayo inaripotiwa kuwaua watu wanne na kujeruhi zaidi ya 150.
Washington "imekuwa mshiriki" kwa vita kwa upande wa Ukraine, wizara ilisema katika taarifa, na kuongeza, "Hatua za kulipiza kisasi hakika zitafuata." Haikufafanua.
Hakukuwa na maoni ya mara moja kutoka kwa maafisa wa U.S. au Ukrain.
Associated Press haikuweza kuthibitisha kwa uhuru madai ya Urusi kuhusu makombora yaliyotumiwa.
Vikosi vya Kyiv vinategemea sana silaha zinazotolewa na nchi za Magharibi tangu uvamizi wa Urusi zaidi ya miaka mitatu iliyopita.
Msaada huo wa kijeshi umekuwa muhimu katika kuisaidia Ukraine kulizuia jeshi la Kremlin, na kuleta mabadiliko machache makubwa kwenye mstari wa mbele wa kilomita 1,000 (maili 620) mashariki na kusini mwa Ukraine kwa miezi mingi.
Katika hatua muhimu ya hivi punde, Pentagon ilisema wiki iliyopita kuwa jeshi la Ukraine linaruhusiwa kutumia makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani kushambulia maeneo ya ndani ya Urusi ikiwa inajilinda. Tangu kuanza kwa vita hivyo, Marekani ilikuwa imedumisha sera ya kutoiruhusu Ukraine kutumia silaha ilizotoa kulenga shabaha katika ardhi ya Urusi kwa hofu ya kuzidisha mzozo huo.
Crimea, ambayo Urusi ilitwaa kutoka Ukraine mwaka 2014 katika hatua ambayo ili ping wa na mataifa karibia yote duniani kwakuwa ni kinyume cha sheria, kwa muda mrefu ilikuwa imetangazwa kuwa ni halali kushambuliwa na Ukraine na washirika wake wa Magharibi.
Mamlaka ya Urusi ilisema kuwa waliouawa katika shambulio la Jumapili ni pamoja na watoto wawili waliogongwa na vifusi vilivyoanguka kutoka kwa makombora ya Ukraine ambayo yalidunguliwa kwenye eneo la pwani huko Sevastopol, mji wa bandari huko Crimea. Ilisema mabomu ya vishada, ambayo wakosoaji wanasema yanadhuru raia zaidi kuliko wapiganaji, pia yalitumiwa.
Urusi ilisema kuwa makombora hayo ni ATACMS yaliyotengenezwa na Marekani, kombora la masafa marefu, lililoongozwa. Ilimuita Balozi wa Marekani Lynne Tracy kwa Wizara ya Mambo ya Nje.
Ulengaji na " ujuzi " kwa mashambulizi hayo ya makombora unafanywa na wataalam wa kijeshi wa Marekani, taarifa ya wizara inadaiwa, ikisema Marekani ina "wajibu sawa na mamlaka ya Ukraine kwenye shambulizi hilo.
Iliendelea kusema kwamba "kuruhusu shambulizi ndani kabisa ya eneo la Urusi hakutaachwa bila kujibiwa."
Wakati huo huo, Wizara ya Ulinzi ya Urusi mnamo Jumatatu iliripoti kushambulia "kitovu kikuu cha vifaa" cha jeshi la Ukrain lililokuwa na makombora na silaha zingine zinazotolewa na nchi za Magharibi.
Ilisema shambulio hilo lilifanywa na ndege za kivita, ndege zisizo na rubani, makombora ya kurushwa ardhini na mizinga. Wizara haikutaja eneo lake.
![]()
Russia summons the American ambassador over a deadly attack that Moscow says used US-made missiles
The Russian Foreign Ministry has summoned the American ambassador to protest what it says was the use of U.S.apnews.com
Mbona unaanzisha Thread mara mbilimbili halafu maelezo yale yale. Yaani ulichobadili ni heading tu. Hata kama ni furaha kuona Russia kapigwa lakini hebu tulia kidogo usirudierudie mada.Sijui ni kivipi Russia watalipa kisasi kwa marekani kama walivyosema mara baada ya makombora ya marekani kutumiwa na Ukraine kushambulia Crimea ambayo tayari iko chini ya himaya ya Urusi tokea 2014. Habari zaidi…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilimwita balozi wa Marekani Jumatatu kupinga kile inachosema ni utumiaji wa makombora ya hali ya juu yaliyotengenezwa na Marekani katika shambulio la Ukraine dhidi ya Crimea inayokaliwa na Urusi ambayo inaripotiwa kuwaua watu wanne na kujeruhi zaidi ya 150.
Washington "imekuwa mshiriki" kwa vita kwa upande wa Ukraine, wizara ilisema katika taarifa, na kuongeza, "Hatua za kulipiza kisasi hakika zitafuata." Haikufafanua.
Hakukuwa na maoni ya mara moja kutoka kwa maafisa wa U.S. au Ukrain.
Associated Press haikuweza kuthibitisha kwa uhuru madai ya Urusi kuhusu makombora yaliyotumiwa.
Vikosi vya Kyiv vinategemea sana silaha zinazotolewa na nchi za Magharibi tangu uvamizi wa Urusi zaidi ya miaka mitatu iliyopita.
Msaada huo wa kijeshi umekuwa muhimu katika kuisaidia Ukraine kulizuia jeshi la Kremlin, na kuleta mabadiliko machache makubwa kwenye mstari wa mbele wa kilomita 1,000 (maili 620) mashariki na kusini mwa Ukraine kwa miezi mingi.
Katika hatua muhimu ya hivi punde, Pentagon ilisema wiki iliyopita kuwa jeshi la Ukraine linaruhusiwa kutumia makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani kushambulia maeneo ya ndani ya Urusi ikiwa inajilinda. Tangu kuanza kwa vita hivyo, Marekani ilikuwa imedumisha sera ya kutoiruhusu Ukraine kutumia silaha ilizotoa kulenga shabaha katika ardhi ya Urusi kwa hofu ya kuzidisha mzozo huo.
Crimea, ambayo Urusi ilitwaa kutoka Ukraine mwaka 2014 katika hatua ambayo ili ping wa na mataifa karibia yote duniani kwakuwa ni kinyume cha sheria, kwa muda mrefu ilikuwa imetangazwa kuwa ni halali kushambuliwa na Ukraine na washirika wake wa Magharibi.
Mamlaka ya Urusi ilisema kuwa waliouawa katika shambulio la Jumapili ni pamoja na watoto wawili waliogongwa na vifusi vilivyoanguka kutoka kwa makombora ya Ukraine ambayo yalidunguliwa kwenye eneo la pwani huko Sevastopol, mji wa bandari huko Crimea. Ilisema mabomu ya vishada, ambayo wakosoaji wanasema yanadhuru raia zaidi kuliko wapiganaji, pia yalitumiwa.
Urusi ilisema kuwa makombora hayo ni ATACMS yaliyotengenezwa na Marekani, kombora la masafa marefu, lililoongozwa. Ilimuita Balozi wa Marekani Lynne Tracy kwa Wizara ya Mambo ya Nje.
Ulengaji na " ujuzi " kwa mashambulizi hayo ya makombora unafanywa na wataalam wa kijeshi wa Marekani, taarifa ya wizara inadaiwa, ikisema Marekani ina "wajibu sawa na mamlaka ya Ukraine kwenye shambulizi hilo.
Iliendelea kusema kwamba "kuruhusu shambulizi ndani kabisa ya eneo la Urusi hakutaachwa bila kujibiwa."
Wakati huo huo, Wizara ya Ulinzi ya Urusi mnamo Jumatatu iliripoti kushambulia "kitovu kikuu cha vifaa" cha jeshi la Ukrain lililokuwa na makombora na silaha zingine zinazotolewa na nchi za Magharibi.
Ilisema shambulio hilo lilifanywa na ndege za kivita, ndege zisizo na rubani, makombora ya kurushwa ardhini na mizinga. Wizara haikutaja eneo lake.
![]()
Russia summons the American ambassador over a deadly attack that Moscow says used US-made missiles
The Russian Foreign Ministry has summoned the American ambassador to protest what it says was the use of U.S.apnews.com
Thread gani nimeanzisha mara mbili? Hapa nimeona kuna thread Moderator ameunga na ya kwangu.Mbona unaanzisha Thread mara mbilimbili halafu maelezo yale yale. Yaani ulichobadili ni heading tu. Hata kama ni furaha kuona Russia kapigwa lakini hebu tulia kidogo usirudierudie mada.
Mchaga anapochanganya Bangi na Mbege utampenda mbona
Huyu ni mzaramo Kwan hiyo Crimea imeanza kupigwa Leo na Ukraine?Medvedev kawaka huko:
"The US bastards are supplying banderovtsy with cluster munitions and help them to take aim at targets. The Kiev bastards are choosing a beach filled with civilians as their target and press the button."
Ukraine wamefanikiwa kuikomboa Crimea tangu wapokonywe mwaka 2014?Huyu ni mzaramo Kwan hiyo Crimea imeanza kupigwa Leo na Ukraine?
Meku muda mwingine machicha ya mbege huwa hayatoki yote tumboni. Huwa yanajichachusha na unajikuta kulewa bila kunywaThread gani nimeanzisha mara mbili? Hapa nimeona kuna thread Moderator ameunga na ya kwangu.
Chunga mdomo wako mchafu. Ficha upumbavu wako.
Kwa hiyo wamarekani waliorusha hayo hayo makombora waliyarusha wakiwa Marekani au Ukraine?Kama umesoma hiyo habari vizuri, Mrusi anasema kwenye hili Marekani na Ukraine kwenye kulipa kisasi wote ni target moja.
Ila sidhani kama atathubutu kupiga ndani ya US. I don’t think so!
Nafikiri mjadala ufungwe kwa point hiiNinasema siku zote kwamba Russia ni joka la kibisa tu hana lolote hawezi kulipiza kisasi kwa kuipiga Marekani wala mshirika wake yeyote, yeye ataishia kuipiga Ukraine tu maana ndio saizi yake.
Kipindi kile anavamia Ukraine alitishia kwamba ole wake atakayemsaidia Ukraine lakini Ukraine inasaidiwa hadi sasa na hana la kufanya.
Marekani wanaitambua ardhi yao kama takatifu na nchi yoyote itakayo thubutu kuishambulia ardhi yao hata kwa kutumia manati tu utakuwa imejifuta katika ramani ya dunia na Russia inalifahamu hilo vizuri sana na haiwezi kufanya kosa hilo hata kidogo.
Wako huru kwenda kuvinjari Cuba kwa nidhamu na kisha kurejea nyumbani kwa amani bila kufanya fujo yoyote karibu na ardhi ya Marekani na hiyo ni ruksa tu.
Ni yaleyale hata Ukraine nao wameisambaratisha mkusanyiko wa wanajeshi 90,000 wa Russia waliokuwa wanajikusanya karibu na mpaka wa nchi hizo tayari kuivamia Ukraine.Putin ana hesabu nzuri sana yuko sahihi Marekani na Russia hawawezi kuingia vitani battlefront.
Wakati wao wametumia ATACMS unajua kwenye uwanja wa mapambano tayari Russia amesambaratisha logistic hub ya Ukraine ambayo ilikuwa inatumiwa kusuplly missiles kutoka West
Sijaona cha maana kilichobadilika, kama badomajeshi ya adui yako ndani ya mipaka yako huo tayari ni udhaifu mkubwa sanaNi yaleyale hata Ukraine nao wameisambaratisha mkusanyiko wa wanajeshi 90,000 wa Russia waliokuwa wanajikusanya karibu na mpaka wa nchi hizo tayari kuivamia Ukraine.
Baada ya Ukraine kuruhusiwa kushambulia ndani ya Russia upepo umebadilika tena dhidi ya Russia.
Jitahidi kuwa mvumilivu kama ZeleinskyModerator please do the neeeful for the sake of this forum.
Zelensky;everything started with Crimea and will end with it.Sijui ni kivipi Russia watalipa kisasi kwa marekani kama walivyosema mara baada ya makombora ya marekani kutumiwa na Ukraine kushambulia Crimea ambayo tayari iko chini ya himaya ya Urusi tokea 2014. Habari zaidi…