Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo, North Korea walizungumzia hili suala. Kwamba endapo silaha za marekani zitatumika kushambulia ardhi ya Urusi, basi kısası kutoka Moscow kitakuwa kikubwa sana. Na kwasababu Kiduku na Putin walikubaliana kwamba mmoja akishambuliwa ni kama wote wameshambuliwa, subiri tuone nguvu ya makubaliano…Ni kweli la Mmarekani ila lazima Ukraine nao wachapike kwanza
Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.
Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.
Usicheze na marekani
Putin nimemuona fala wanaume ni Afghanistan, Iran, Hezbullah, Al Houth hawa US anawajua music wake ndo mana anamuambia shoga yake usisogee Lebanon mimi sina uwezo wa kukusaidia.Hapo akipiga Ukraine tu itakuwa woga. Maana hayo makombora ni kama mmarekani ameyapiga. Na hapo wanamtest tu Putin kuona reaction yake.
Hayo mabomu yanatumia satellites za marekani na ni lazima wataalamu wa marekani watumike.
Kwahiyo hilo shambulizi ni la mmarekani bila chenga.
Acha ubishi wa kijinga, kuna shambulio kweli limetokea huko Russia.BBC ya wapi wewe mcha mbuzi?
Hivi mnajua kinachoendelea kwenye uwanja wa vita? Mnaweza kujudge kwa hilo shambulio ila majeshi ya Russia yanasonga mbelePutin nimemuona fala wanaume ni Afghanistan, Iran, Hezbullah, Al Houth hawa US anawajua music wake ndo mana anamuambia shoga yake usisogee Lebanon mimi sina uwezo wa kukusaidia.
Us alipokea kichapo pale Ain Al Asad, kule Iraq kwenye base yake, mpaa leo anaogopa mziki wa Iran.
ujue huu ndio ubaya wa proxy war, watatafuta namna ya kumpa kipigo US kwa kutumia proxy kama yeye anavyofanya!
hii dunia bila nchi ya kishetani kama US ingekua sehemu salama sana, jamaa anapenda sana ubabe utadhani tupo enzi za babeli au dola la warumi
Kuna matukio 2 yametokeaAcha ubishi wa kijinga, kuna shambulio kweli limetokea huko Russia.
USA kaisaidiaje dunia kuwa salama?Dunia bila USA isingekuwa dunia salama kwa sisi kuishi. USA ashukuliwe saana.
Mimi niko na Putin lakini na muona anasita sana kuchukua action, dawa ya US na Israel ni kuwapelekea moto tu ndio lugha wanayo ifahamu.Hivi mnajua kinachoendelea kwenye uwanja wa vita? Mnaweza kujudge kwa hilo shambulio ila majeshi ya Russia yanasonga mbele
Kuna matukio 2 yametokea
Lile la Crimea lililoua watoto 2 ndio mnasema wengi wamekufa
Na lile la magaidi mjini Makhachkala karibu na kanisa Orthodox ambapo wahusika walishadhibitiwa na kukamatwa?
Kwa hiyo hayo matukio 2 ndio kusema Putin mwisho wake umefika sio?
Hats siku 1...Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.
Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.
Usicheze na marekani
Vumilia,jumatatu inayofuata shule zitameza wanafunzi hawa wote.Shule za kata zimeleta matatizo mengi sana!
Putin ana hesabu nzuri sana yuko sahihi Marekani na Russia hawawezi kuingia vitani battlefront.Mimi niko na Putin lakini na muona anasita sana kuchukua action, dawa ya US na Israel ni kuwapelekea moto tu ndio lugha wanayo ifahamu.
We huoni US na Israel wanavyo muogopa Iran, sababu Iran akisema nitafanya atafanya kweli.
Huoni Israel anavyo muogopa Hezbullah hataki kuingia full war anaona bora tuendele hivi hivi nampiga kidogo na yeye ananipiga kidogo 😄
Ndio hilo limeua watoto 2 kwenye beach iliyopo Crimeanajua jana Kuna shambulio la bomu, na Russia wameihusisha US na shambulio hilo.
Unamanisha Murtaza Mangungu au?Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.
Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.
Usicheze na marekani
Ardhi gan ya Urusi,??Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.
Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.
Usicheze na marekani