ujue huu ndio ubaya wa proxy war, watatafuta namna ya kumpa kipigo US kwa kutumia proxy kama yeye anavyofanya!Kama umesoma hiyo habari vizuri, Mrusi anasema kwenye hili Marekani na Ukraine kwenye kulipa kisasi wote ni target moja.
Ila sidhani kama atathubutu kupiga ndani ya US. I don’t think so!
Bora iwe hivyo.Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.
Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.
Usicheze na marekani
aliyékua wa kwanza kujitoa kwenye mikataba ya aina hio ni nani?Miaka ya tisini, Bill Clinton na Borris Yelstin walikuwa na mpango wa kuondoa silaha za Nyuklia. Baada Yelstin kufa na Putin kushika madaraka plan yote hiyo ikafa na Katiba ya Urusi ya presidential term limit mbili nayo ikabadilika na kuruhusu rais wa maisha.
Nilipofika hapa nikagundua hauna unachojua. Nimeishia hapoimeua watu kibao
Sikiliza bbc sasa hiviNilipofika hapa nikagundua hauna unachojua. Nimeishia hapo
Ubishi wangu tu ila heading ilashaniambia huu uzi umejaa upuuzi na habari za vijiweni
Anatakiwa asilize taarifa ya habari ili kupata uhakika.Sikiliza bbc sasa hivi
BBC ya wapi wewe mcha mbuzi?Sikiliza bbc sasa hivi
British broadcast corporationBBC ya wapi wewe mcha mbuzi?
Ukilewa usipost mkuuBritish broadcast corporation
West wamemuingilia kubwa jinga putinya, putinya linalialia kw maumivuLeo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.
Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.
Usicheze na marekani
HahahaWataalamu wa masuala ya kimataifa wa kibongo mpo kazini 😂
Sawa msemaji wa White House. Tunanshuru kwa taarifa. Akikamatwa tu, unijulishe faster! Kuna buku yako hapa ya soda.Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.
Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.
Usicheze na marekani
Amka haraka au la utakata gogo kwenye kitanda. Hiyo onaishia kwenye ndoto tu.Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.
Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.
Usicheze na marekani