Makombora ya Marekani yatumika kuipiga Crimea, Urusi yamwita balozi wa Marekani, yasema italipa kisasi!

Medvedev kawaka huko:

"The US bastards are supplying banderovtsy with cluster munitions and help them to take aim at targets. The Kiev bastards are choosing a beach filled with civilians as their target and press the button."
Russia ajitahidi apigane vita vyake na ashinde, vinginevyo atageuziwa kibao. Sioni sababu ya kulalamika vita alianzisha mwenyewe.
 
Acha kunilisha maneno, Sina popote niliposema limeua watu wengi, ila najua jana Kuna shambulio la bomu, na Russia wameihusisha US na shambulio hilo.
Kama masuala ya kimataifa yako juu ya uwezo wenu, yaacheni ili tushughulikie tu haya yetu ya nyumbani.
Kwa ufupi shambulio unalolisema hili hapa:
"On Sunday at 12:15 pm local time, Ukraine attacked the Russian city of Sevastopol with five ATACMS missiles equipped with cluster bomblets. Russian air defenses intercepted four missiles, but the explosion of the fifth cluster warhead led to the death of four civilians with 153 more injured, according to local authroirties."
Sasa hapo Putin anaingiaje?
 
Ktk hii vita anayepanda unable ni Russia
 
Alikamatwa juzi akiwa anatorokea Kenya! Sema hujasikiliza vizuri bibic!😊😊
 
Leo marekanai imetest mitambo kwa kirusha bomu moja kwa moja mpaka kwenye ardhi ya urusi na imeua watu kibao.

Sasa mda si mrefu putin atakamwa. Urusi imebaki kubweka tu kuwa itatumia silaha za nuclear as if marekani hawana.

Usicheze na marekani
Hahahaha weww ni juja.
 
Dunia ilianza kustaarabika mataifa yakawa wanashindana biashara, lakini wakajitokeza vichaa wachache wasiotaka kuachia madaraka wao wanafikiria vita tu.
Putin ni kiongozi wa kizamani sana.Unawaza kuunguza dunia huku una ndugu wametapakaa dunia nzima ubabe wa minguvu umepitwa na wakati siku hizi ubabe ni nguvu za kiuchumi
 
Mkuu umelewa Nini? Kuna popote kwenye hiyo post yangu neno Putin?
 
Hakuna jipya Russia fala kama mafala wengine
 
Hali inazidi kubadilika huko duniani tuzidishe maombi

Putin amekasirika Sana na sasa anatest mitambo aliyopewa na Kiduku Ili alipe Kisasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…