Makombora ya Marekani yatumika kuipiga Crimea, Urusi yamwita balozi wa Marekani, yasema italipa kisasi!

Israel anamuogopa Hezbollah wakati mpaka sasa hivi ameua zaidi ya wapiganaji 400 wa Hezbollah ikiwa ni pamoja na viongozi waandamizi
 
Usifananishe hayo mashambulizi ya houth, afghastan n.k na hii vita. Hii ni vita kubwa west wanajitoa mazima. Hata huko kwa Hawa wahouth au afghastan siyo kama wamewashindwa hawaendi hovyo hovyo kwa kipindi hiki kwa kumhofia mrusi atawalipizia. Mrusi hapa inabidi atumie akili ajipange kama anavyofanya sasa hivi kwa kuwaandaa washirika wake kwa vita kama NK, Vietnam, Cuba, china n.k kabla hajalianzisha. Akikurupuka watamshinda usiwachukulie poa
 
Kwa mazingira yaliyopo kam Rusia hatakuwa na busara akaacha kuipokonya Ukraine eneo lake majimbo 4 vita kati ya Russia na NATO italipuka na wote watapoteza vita hiyo Nato atateketea na Rusia itateketea mazima , USA amebanwa kiasi cha kushindwa kuvumilia. Kitendo cha kumsapoti Ukraine halafu aporwe ardhi yake nchi nyingi zitamkimbia USA na kujiunga na Rusia, maana yake USA ameshindwa kulinda usalama wa nchi hizo,
 
Mbona unaanzisha Thread mara mbilimbili halafu maelezo yale yale. Yaani ulichobadili ni heading tu. Hata kama ni furaha kuona Russia kapigwa lakini hebu tulia kidogo usirudierudie mada.

Mchaga anapochanganya Bangi na Mbege utampenda mbona
 
Mbona unaanzisha Thread mara mbilimbili halafu maelezo yale yale. Yaani ulichobadili ni heading tu. Hata kama ni furaha kuona Russia kapigwa lakini hebu tulia kidogo usirudierudie mada.

Mchaga anapochanganya Bangi na Mbege utampenda mbona
Thread gani nimeanzisha mara mbili? Hapa nimeona kuna thread Moderator ameunga na ya kwangu.

Chunga mdomo wako mchafu. Ficha upumbavu wako.
 
Mungu tuepushe na ww3,hapa jamii forum baadhi ya watu mnashabikia sana vita ya nyuklia na mnapenda itokee lakini nawaambia kwa uhakika kabla jogoo hajawika mara tatu mtakuwa mnajutia vita hiyo na kuikana kabisa.
Nchi zinazoendelea ndio zitakazoteseka sana na athari za vita hiyo.!!!!
 
Medvedev kawaka huko:

"The US bastards are supplying banderovtsy with cluster munitions and help them to take aim at targets. The Kiev bastards are choosing a beach filled with civilians as their target and press the button."
Huyu ni mzaramo Kwan hiyo Crimea imeanza kupigwa Leo na Ukraine?
 
Thread gani nimeanzisha mara mbili? Hapa nimeona kuna thread Moderator ameunga na ya kwangu.

Chunga mdomo wako mchafu. Ficha upumbavu wako.
Meku muda mwingine machicha ya mbege huwa hayatoki yote tumboni. Huwa yanajichachusha na unajikuta kulewa bila kunywa
 
Kama umesoma hiyo habari vizuri, Mrusi anasema kwenye hili Marekani na Ukraine kwenye kulipa kisasi wote ni target moja.

Ila sidhani kama atathubutu kupiga ndani ya US. I don’t think so!
Kwa hiyo wamarekani waliorusha hayo hayo makombora waliyarusha wakiwa Marekani au Ukraine?
 
Nafikiri mjadala ufungwe kwa point hii
 
Ni yaleyale hata Ukraine nao wameisambaratisha mkusanyiko wa wanajeshi 90,000 wa Russia waliokuwa wanajikusanya karibu na mpaka wa nchi hizo tayari kuivamia Ukraine.

Baada ya Ukraine kuruhusiwa kushambulia ndani ya Russia upepo umebadilika tena dhidi ya Russia.
 
Sijaona cha maana kilichobadilika, kama badomajeshi ya adui yako ndani ya mipaka yako huo tayari ni udhaifu mkubwa sana
 
Zelensky;everything started with Crimea and will end with it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…