Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

Nlichogundua wengi humu ni fwata mkumbo watanzania tujifunze kujisomea kuna vyombo vya habari vizuri tu tuachane na vistory vya vijiwe majungu kuna watu humu wanaibeza poland sasa kama mrusi Vita ya siku 3 inamtoa jasho mpaka kaamua kuhamia kwa wafungwa poland si ndio itamtoa jasho.

Poland ana jeshi la nchi sio sawa na Urusi ana vikundi vya wapiganaji mara Wagner mara Kaydrov wa Chechen hana jeshi yule
 
warusi wa buza wakiungana na M23 ya mbagala wanalipi la kusema
 
Hii imekuwa clarified leo. Taarifa siyo za kweli. Hayo makombora siyo ya Urusi. Ni Ukraine wametuma hayo makombora kutaka kushambulia makombora ya Urusi. Bahati mbaya makombora hayo ya Ukraine yakaangukia Poland. Hizi ni new updates
 
Zelensky na Putin wakipitia hizo nyuzi kuna watu watapata fursa za bure si kwa kujitoa huku.
 
Hii imekuwa clarified leo. Taarifa siyo za kweli. Hayo makombora siyo ya Urusi. Ni Ukraine wametuma hayo makombora kutaka kushambulia makombora ya Urusi. Bahati mbaya makombora hayo ya Ukraine yakaangukia Poland. Hizi ni new updates

sasa hii imekaaje mkuu

maana Poland ipo nyuma ya Ukraine sasa Ukraine anavotaka kushambulia makombora yanyotoka Urusi inakuaje yanaangukia tena nyuma!!!

 
kherson ipo mashariki kashindwa lenga alipo mshukiwa wake kaenda kulenga karib na Poland , huu sio ukichaa ? inaonesha alipo Zele Pana defence kali sana
Vita ni vita yeye ndo anajua kwanini anafanya hayo.Pengine anamlazikisha aachane na vita kitu ambacho joti HATAKI.
 
Maneno ya 1954
In their explanation Russia were very much sober kwamba hawakuhusika and they went even further kwamba that was a provocation by Ukraine to draw NATO into war with Russia.... Sasa nataka nikuambie wazi my dear sister...Naandika this as a professional kwa mambo fulani....NATO na West hawataki vita na Russia...ndiyo maana USA, Poland, NATO na West wamejitokeza wazi mapema kabisa kuainisha kuwa lile lilikuwa ni kombora la Ukraine...It is a big relief kwa USA, NATO na West...Wangenyamaza tu kuweka wazi hilo dunia nzima ingekuwa inawaangalia wao kwa kusema kuwa mbona hamchukui hatua dhidi ya Russia??!!! Ila Zele yeye anataka NATO waingie vitani na Russia kwa maslahi ya Ukraine....Lile kombora lilipigwa na Ukraine kwa makusudi kabisa na wala siyo accident au bahati mbaya...Hali ya Ukraine kwa sasa ni mbaya mno and they will never repeat never never recover much of the land which at present is occupied by Russia.... Kilichopo Ukraine kwa sasa ni proxy war... USA, NATO na West wanapigana proxy war dhidi ya Russia...Wao wenyewe hawataki kuingia kichwa kichwa kwenye vita kamili kwani si Russia wala West atakayeibuka mshindi kwani itakuwa vita vya nyuklia....Nchi za West zinataka kuidhoofisha Russia kijeshi, kiuchumi na kidiplomasia...Lakini Russia anajua hilo ndiyo maana yupo makini katika matumizi ya resources....West wanaumia mno kiuchumi na ni suala la muda tu kuona ni uvumilivu wa kiwango kipi citizens wa west wataweza kuendelea nao...
 

Tatizo hata NATO wenyewe wanamuogopa kanoute[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa ana ubabe wa wazi wazi kabisa
 
Huyu War Monger wenu amebaki anatapatapa tu damu za watoto wachanga, wajawazito,Wazee wasio na hatia za Waukraine hazitamwacha salama.

Naimani kwa uchokozi huu hata ndg zake Korea North, China, Iran, uganda wataanza kumtenga

Vita haina huruma mzee[emoji23][emoji23]acha kutia huruma si mlimuanza wenyewe ndo myaonege wengine ni vichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…