Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

A senior U.S. intelligence official says Russian missiles crossed into NATO member Poland, killing two people.

Source: Associated Press
 
Hii inaweza kuwa declaration rasmi ya vita ya tatu ya dunia! Kombe la dunia huenda likasogezwa mbele na mfumo wa maisha wa dunia nzima ukaharibika. Tuombeni kwa juhudi zaidi!
 
I don’t want to speculate when it comes to our security commitments and Article 5.

But we have made it crystal clear that we will protect every inch of NATO territory,

says Pentagon Press Secretary

Me naleta Updates tu wajameni

Naona Blood sucker bado ana hamu na damu za binadamu.
 
Taarifa zina ripoti makombira mawili yaliyolengwa Ukraine/Cruise missiles yameangukia Ardhi ya Poland na Kuua raia wawili wa Poland ambao walikua hawajashika hata manati.

Naona Blood Monger/war Monger bado ana hamu na damu za watu baada ya tukio hilo baraza la usalama la Poland wakiongozwa na waziri Mkuu Ndg Duda wamekutana kwa Dharura kujadili sintofahamu hiyo huku pia viongozi mbalimbali wa vyombo vya usalama wakizuru eneo la tukio.

Inaweza kuwa War Monger aka mzee wa special operation anataka kuanzisha operation nyingine Poland.

Tukumbuke Poland ni member wa Nato na Rusia kufanya hivyo ameviolate article No 5 ya NATO.

Wale Pro Russia wa Tanzania mtueleze tena kama Putin alisaini mkataba wowote na Poland kama mlivyokuja na hoja nyepesi za Ukraine.

Ndg yenu anazeeka vibaya.
Tunataka Ku drag uwanja wa vita hadi England
 
Naomba viongozi wa nato watumie busara katika hili ili kuepusha third world war maana wakisema wafuate kipengele cha article three cha nato kama sheria za uamedi na uajemi word war is around the corner
 
Naomba viongozi wa nato watumie busara katika hili ili kuepusha third world war maana wakisema wafuate kipengele cha article three cha nato kama sheria za uamedi na uajemi word war is around the corner
Wasipofuata kipengele chao watakua wameiogopa Russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Marekani wanajifanya hawajui lolote kuhusu makombora ya yaliyoua Poland [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uwoga
Screenshot_20221115-224654~2.jpg
 
Kaishiwa huyo mtoto mdogo kamchapa Sasa anatfuta mwingne wa kuchakazwa nae
 
Back
Top Bottom