Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Mwanachama wa Nato kapigwa mashine hadharani..., nato wakijibu kwa moto itakuwa ni sawa na kujinyonga! Wakinyamaza au wakilaani au wakija na vikwazo vyao uchwara itakuwa waeiogopa Urusi jambo ambalo ni kweli wanaiogopa Urusi kweri-kweri.
Je, wakijibu itakuwaje?
Wakijibu makombora yao mengi yatadunguliwa kwa usahihi wa hali ya juu huku wao wakijibiwa kwa moto mkali ambao utaondoka na miji yao mingi pamoja na mamilioni ya raia wenye hatia na wasiokuwa na hatia.
Kikubwa tu ni kwamba watakaa vikao vingi vya umoja wa kinamama bila kuthubutu ujinga!