Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
We mumeo atakuwa ni shogaHuyu put in ni kiboko ya mashoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mumeo atakuwa ni shogaHuyu put in ni kiboko ya mashoga
Kwa lipi?najua warusi wa buza ,mko kwenye hali mbaya sana kwani mtaalam wa karate kawaangusha sana!! naona sasa ameanza kutafuta ugomvi mzito wakati huo mdogo umemshinda!!umemsikia waziri wa ulinzi wa Russia alichosema baada ya ya hilo kombora kutua POLAND?!!Mnajifariji?
hahaaaa!!!muda wowote tu,NATO,watakapoona sasa wamejiridhisha pasipo shaka,hilo kombora limetoka URUSI,hawakurupuki kama PUTIN!!sasa jamaa alifikiria eti sasa hivi tu NATO,waanze kujibu mapigo,hahaaa
mnakujaga kukana kuwa hakurusha bomu ndan ya PolandWazee wa we will defend every inch of NATO member waje tuone hii imekaaje.
acha mawenge kila kitu subiraWe have been crystal clear that we will defend every inch of NATO territory,
says Pentagon press secretary
Source Visegrad24
Mnaongea tu subirini vidole.
hao huchukua muda sana sio wakurupukaj[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa tutaona hao wadau wa Nato watafanya swala gani
hao huchukua muda sana sio wakurupukaj
hao sio wakurupukaj , mdo mdo mtastuka Urusi anachakazwaHapa sasa ndio nataka nione maamuzi ya Nato.
uchiz huu kautibuTunataka Ku drag uwanja wa vita hadi England
anapiga akiwa wap ?Hawawezi kuamua chochote. Putin ataendelea kuipiga kwa pozi Ukraine mpaka itakaa sawa after all hao wayukreini wengi wana asili ya urusi hawezi kuwaumiza ndugu zake.
Nchi zaidi ya 3 usiku huu zimeitisha kikao kwa dharura kujadili hili jambo huku wakisitisha rasmi bomba la mafuta mashariki mwa Ulaya.mnakujaga kukana kuwa hakurusha bomu ndan ya Poland
Haitatokea hii.hao sio wakurupukaj , mdo mdo mtastuka Urusi anachakazwa
mbona Urusi wamekiri tyrHayo makombora ya urusi Ila NATO watapindisha taarifa ili wasipambane na urusi rasmi
Siyo makombora ya Urusi hayo!! Makombora ya Urusi ni "high precision" yaani yana shabaha kubwa!! Hayakosi target!! Ukitaka kujua hilo uliza kinachoendelea leo huko ukraine!!Matumizi mabaya ya makombora, kombora gani linaua watu wawili, au lilikuwa ni kombora la kurusha kwa mkono.?
Lazima watafute mlango wa kutokea! Kukabiliana na Urusi ana kwa ana siyo habari ndogo!! Wataishia kulaani tu na kutoa onyo na vitisho basi! Urusi siyo Iraq!!Hapa sasa ndio nataka nione maamuzi ya Nato.
Mpaka sasa hivi Rusia ameshakana kuhusika na urushaji wa hayo makomboraWasipofuata kipengele chao watakua wameiogopa Russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]