GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Hapa bado ni wananchi tu wanachùkua sehemu zingine wamezuia watu wasiende kutoa aibu zao 😄Kumbe Waisrael wanajua kulia.
View: https://x.com/suppressednws/status/1858590034384822475?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Huwa mnatamani iwe hivyo tangu Saddam, Ghadaffi, Hamas na Hizbollah ila hiyo haipo, waarabu Wenye akili walishaamua kuwa wanalaani kwa mdomo tu, sio kuingiza pua zaoMwaka Israel inatamani hata kukimbia vita. Wanaogopa tu aibu. Israel inatandikwa kisawa sawa.
Good,Wanasema watu wa nne tu wamepata majeraha😂
Kombora zao hazina nguvu, ingependeza nao wangekuwa wanageuza kifusi majengo ya kwao.
Hivi vita muisrael alishashindwa kitambo sana. UN iingilie kati Israel isije ikafutwa kabisa kwenye uso wa dunia kwa kipigo hiki, duh aisee
Hv pundeHii ni lini?
Huyu kenge kafyekwa utamu dah
Mmkirudizhiwad mnalia sana
Hizbullah Leo katembeza Sana kichapo kwa wazayuni,kapiga kambi nyingiWazayuni kwa sound idf wanasema mabaki polisi wanasema direct hit halafu kuna mtu anaamini hawa mazayuni
Hizbullah anatoa doziHizbullah Leo katembeza Sana kichapo kwa wazayuni,kapiga kambi nyingi