Makombora yatua Tel Aviv

Makombora yatua Tel Aviv

View: https://youtu.be/9lKCZXTfTu8?si=IWWecHE2wqci1t-J

Police wa israel anapiga walicho ongea jeshi la Israel kuwa Missiles za Hezbullah hazi kupiga targets, wanacho ongea jeshi wame intercepted si kweli. Mnacho ona kina waka ni body ya Missile lakini kuna jumba hapa limepigwa vibaya sana na mpaa mda huo wameisha bebwa watu watano inaonyesha watakuwa zaidi.. tunacho omba ondokeni hapa mda wowote ule kuna madirisha au vigaye vitanguka karibu na jumba lililo pigwa direct. MISSILE ilikiwa ni heavy si kama mnavyo ambiwa na jeshi.
 
Waarabu wanajipanga mwezi mzima kurusha bomu Tel Aviv wanaua mbu na mijusi halafu wanajisifia 🤣🤣🤣
Israel ni dude kubwa sana lenye maguvu na hawa wengine ni wadhaifu wasiokuwa na nguvu. Hivyo mtu mnyonge anapofanikiwa kumpiga hata kwa jiwe mwenye mabavu lazima ASHANGILIE SANA.
Pia Israel inapopiga Hizbullah kwa makombora mazito na kuwaua INAKUWA SIO HABARI ,lakini Hizbullah anapofanikiwa kurusha jiwe au yai viza na kupiga kichwani kwa Netanyahu HIYO NI HABARI KUBWA SANA DUNIA
 
Mmeua Waisrael wangapi?? 🤣
Wewe shabiki mandazi wa JF Hezbollah na Iran wameishasema wazi wao wanapiga tagert muhimu siyo kama mabasha zako wao wanapiga majengo na raia, wakitaka kupigq majengo na raia wangefanya hivyp siku nyingi na mabasha zako wanalijua hilo.
 
Hawa lolote Gaza mwaka na zadi imewashinda wamebaki kuuwa watoto na kuvunja majengo tu.

View: https://x.com/hadinasrallah/status/1858647266199789579?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Haaaa Kijiti kipo upende wa Hezbullah zam yao kupeleka moto sema Israel wanaficha aibu zao lkn wanapelekewa moto sana Yemen pia kuzi aliwapelekea moto lkn wanakausha kimya wanaugua kimyakimya.
 
Kombora zao hazina nguvu, ingependeza nao wangekuwa wanageuza kifusi majengo ya kwao.
Hao Israel wanapiga thousands of tonnes of bombs Gaza ndio maana unaona Gaza inaharibika vile.
Ila Hizbollah hupiga makombora machache tu.
Kasome ripoti uone makombora aliyotupa Israel Gaza ni Tanzania inapigana na Kenya na inamaliza vita.
 
Wewe shabiki mandazi wa JF Hezbollah na Iran wameishasema wazi wao wanapiga tagert muhimu siyo kama mabasha zako wao wanapiga majengo na raia, wakitaka kupigq majengo na raia wangefanya hivyp siku nyingi na mabasha zako wanalijua hilo.
Mbona unajikanyaga bro hivi kumbe ilo jengo lililopigwa ni la jeshi???
 
Back
Top Bottom