Makombora yenye shabaha kali kupewa Ukraine, zege hailali, hii ndio fursa sasa

Makombora yenye shabaha kali kupewa Ukraine, zege hailali, hii ndio fursa sasa

Kwani Urusi ndio ana silaha za nyuklia yeye pekee. Mbona mnaipa umuhimu sana wanajeshi wake maelfu washakufa, kashaongeza mobilization ya watu 300,000 (kulingana na Wizara yao ya ulinzi) bado anataka mobilization nyingine utaisikia mwenyewe kuwa mvumilivu. Kuna kamji ka kuzalisha chumvi yuko anapambania tangu May 2022 mpaka leo bado.

Urusi ni nchi ya kawaida, ukiwekewa bunduki utosini mjini ukatakiwa utafute bidhaa ya Urusi dukani ili usalimike acha kujisumbua andika wosia.
Urusi sio nchi ya kawaida, ndio maana nchi za Umoja wa ulaya na US pamoja na wale wa Asia wakina Japana na wengineo wote wameungana kuanzia fedha, silaha, watu, teknolojia n.k kupambana na mwamba mmoja anae itwa Urusi
 
kuna msemo unasema " Usimsifie baba yako kuwa anajua kukimbia,wakati aliyemkimbiza hajarudi"
back to the point,
urusi mpaka sasa hatujajua kama ni mwamba au ni kokoto mpaka amalizie kazi yake ya uvamizi.
kwa ufanisi,kinyume na hapo ulimwengu unawezaandika historia nyingine.
 
Urusi ni mwamba, dunia hii nchi ambayo inaweza mvimbia US na umoja wa ulaya kwa pamoja tena kwa kuvamia nchi nyingine ni Urusi peke yake, fikiria mtu kama Gadafi kupiga tu waandamaji anga likafungwa na umoja wa ulaya, na mwisho akauawa, lakini kwa Putin mambo ni tofauti wanajua ule ni mkono wa chuma
 
Nendeni frontline msisemee nyuma ya keybord, ndege iliyomleta nemes bado ina mafuta ya kuleta wengine.
Tupo kila sehemu nani kakwambia Urusi inalindwa kwenye uwanja wa vita tu? hata huku mtaani tuna timiza majukumu yetu Warusi
 
Viva Putin, kila siku US na umoja wa ulaya, vikao haviishi

Na vitaendelea mpaka tuizike Urusi, duni itulie maana Urusi ndio ilikua tegemeo la waarabu na ugaidi wao.
 
Na vitaendelea mpaka tuizike Urusi, duni itulie maana Urusi ndio ilikua tegemeo la waarabu na ugaidi wao.
Urusi sio Zimbabwe, hakuna wa kuizika Urusi hapa duniani, siku Urusi ikizikwa dunia ina zikwa
 
Putin AMELAANIWA tayari. Kwa vilio wanavyolia waliopoteza wapendwa wao, Tanzania wamelia, Zambia, Urusi wanalia, anawavutisha bangi vijana wa watu na mapombe na kuwapeleka vitani. Wanakufa kama kuku, nasema damu za waliopoteza maisha vitani ziwe juu ya Putin.
wewe na Putin nani kalaanika?
 
Ukraine kupewa makombora yenye uwezo wa kupiga kwa shabaha kali sana, likatumwa ndipo linapiga...

Kipindi hiki Urusi imelemazwa na Ukraine ndio muda muafaka wa kuwezeza Ukraine pakubwa, zege hailali, Urusi isipewe fursa ya kuamka tena....

==================

Western allies pledged precision rockets and missile systems to Ukraine on Friday, after President Volodymyr Zelensky called for sophisticated weapons to help retain control of the embattled eastern city of Bakhmut.

The European Union agreed to introduce price caps on Russian petroleum products to try to further limit Russian President Vladimir Putin's war chest by targeting his key exports.

The announcements came shortly after Zelensky told a summit with EU leaders in Kyiv: "No one will surrender Bakhmut." We will fight as long as we can.

"If weapon deliveries are accelerated, particularly with long-range weapons, we will not only not withdraw from Bakhmut, but we will also begin to de-occupy Donbas," he said of Ukraine's eastern region.

The United States on Friday announced a new $2.2-billion package of arms and munitions, which the Pentagon said included a new rocket-propelled precision bomb that could nearly double Kyiv's strike range against Russian forces.
Endeleeni kujidanganya kuwa zege hailali kisha mtatumiwa kifurushi huku huko mnakoandalia zege 🤣!!!
Leteni maafa Crimea na Kremlin Moscow mtakipata kilichomtoa kanga manyoya. Ashukuriwe mchina kwa kutoa real pictures za satellite kwamba wapi tuanze napo kupa Nuke.
 
Hujamsikia yule mama waziri wa ulinzi Stergomena Tax amedai kuwa hairuhusiwi kwenda kujiunga na jeshi la nchi ingine? Tunaheshimu mamlaka ya nchi bila hivyo tungeshakula combat tu kwenda kuwakanda machoko wa Ukraine.
Nendeni frontline msisemee nyuma ya keybord, ndege iliyomleta nemes bado ina mafuta ya kuleta wengine.
 
Endeleeni kujidanganya kuwa zege hailali kisha mtatumiwa kifurushi huku huko mnakoandalia zege 🤣!!!
Leteni maafa Crimea na Kremlin Moscow mtakipata kilichomtoa kanga manyoya. Ashukuriwe mchina kwa kutoa real pictures za satellite kwamba wapi tuanze napo kupa Nuke.

Hayo ni makelele kwa sasa, kwenye referendum tuliambiwa kugusa hayo maeneo ni kama umesa Moscow, yanapigwa mabomu kila siku na Warusi wameuawa humo kama senene.
 
Hayo ni makelele kwa sasa, kwenye referendum tuliambiwa kugusa hayo maeneo ni kama umesa Moscow, yanapigwa mabomu kila siku na Warusi wameuawa humo kama senene.
Nani anayepiga hayo mabomu
 
Hujamsikia yule mama waziri wa ulinzi Stergomena Tax amedai kuwa hairuhusiwi kwenda kujiunga na jeshi la nchi ingine? Tunaheshimu mamlaka ya nchi bila hivyo tungeshakula combat tu kwenda kuwakanda machoko wa Ukraine.
Woga huo,kwani nemes alisubiri tangazo?
Wanaouza madawa ya kulevya huwa wanaruhusiwa na serikali au tunasikiaga wameishakamatwa??
Nendeni mkanyolewe.
 
Back
Top Bottom