Makombora yenye shabaha kali kupewa Ukraine, zege hailali, hii ndio fursa sasa

Urusi sio nchi ya kawaida, ndio maana nchi za Umoja wa ulaya na US pamoja na wale wa Asia wakina Japana na wengineo wote wameungana kuanzia fedha, silaha, watu, teknolojia n.k kupambana na mwamba mmoja anae itwa Urusi
 
kuna msemo unasema " Usimsifie baba yako kuwa anajua kukimbia,wakati aliyemkimbiza hajarudi"
back to the point,
urusi mpaka sasa hatujajua kama ni mwamba au ni kokoto mpaka amalizie kazi yake ya uvamizi.
kwa ufanisi,kinyume na hapo ulimwengu unawezaandika historia nyingine.
 
Urusi ni mwamba, dunia hii nchi ambayo inaweza mvimbia US na umoja wa ulaya kwa pamoja tena kwa kuvamia nchi nyingine ni Urusi peke yake, fikiria mtu kama Gadafi kupiga tu waandamaji anga likafungwa na umoja wa ulaya, na mwisho akauawa, lakini kwa Putin mambo ni tofauti wanajua ule ni mkono wa chuma
 
Nendeni frontline msisemee nyuma ya keybord, ndege iliyomleta nemes bado ina mafuta ya kuleta wengine.
Tupo kila sehemu nani kakwambia Urusi inalindwa kwenye uwanja wa vita tu? hata huku mtaani tuna timiza majukumu yetu Warusi
 
Viva Putin, kila siku US na umoja wa ulaya, vikao haviishi

Na vitaendelea mpaka tuizike Urusi, duni itulie maana Urusi ndio ilikua tegemeo la waarabu na ugaidi wao.
 
Na vitaendelea mpaka tuizike Urusi, duni itulie maana Urusi ndio ilikua tegemeo la waarabu na ugaidi wao.
Urusi sio Zimbabwe, hakuna wa kuizika Urusi hapa duniani, siku Urusi ikizikwa dunia ina zikwa
 
wewe na Putin nani kalaanika?
 
Endeleeni kujidanganya kuwa zege hailali kisha mtatumiwa kifurushi huku huko mnakoandalia zege 🤣!!!
Leteni maafa Crimea na Kremlin Moscow mtakipata kilichomtoa kanga manyoya. Ashukuriwe mchina kwa kutoa real pictures za satellite kwamba wapi tuanze napo kupa Nuke.
 
Hujamsikia yule mama waziri wa ulinzi Stergomena Tax amedai kuwa hairuhusiwi kwenda kujiunga na jeshi la nchi ingine? Tunaheshimu mamlaka ya nchi bila hivyo tungeshakula combat tu kwenda kuwakanda machoko wa Ukraine.
Nendeni frontline msisemee nyuma ya keybord, ndege iliyomleta nemes bado ina mafuta ya kuleta wengine.
 
Hayo ni makelele kwa sasa, kwenye referendum tuliambiwa kugusa hayo maeneo ni kama umesa Moscow, yanapigwa mabomu kila siku na Warusi wameuawa humo kama senene.
 
Hayo ni makelele kwa sasa, kwenye referendum tuliambiwa kugusa hayo maeneo ni kama umesa Moscow, yanapigwa mabomu kila siku na Warusi wameuawa humo kama senene.
Nani anayepiga hayo mabomu
 
Hujamsikia yule mama waziri wa ulinzi Stergomena Tax amedai kuwa hairuhusiwi kwenda kujiunga na jeshi la nchi ingine? Tunaheshimu mamlaka ya nchi bila hivyo tungeshakula combat tu kwenda kuwakanda machoko wa Ukraine.
Woga huo,kwani nemes alisubiri tangazo?
Wanaouza madawa ya kulevya huwa wanaruhusiwa na serikali au tunasikiaga wameishakamatwa??
Nendeni mkanyolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…