Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

Safi sana Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Makonda. Kamata wote tupa ndani .maana haiwezekani mtu uuze nyumba ya millioni 50 kwa mkopo wa milioni 3,wakati mhusika akiendelea kufanya marejesho bila shida ya aina yoyote ile.huo ni uhuni na utapeli mkubwa sana ambao haupaswi kufumbiwa macho hata kidogo. Hata wewe unatetea ujinga na utapeli huu kwa kuwa tu hayajakukuta na kukupata.
Tz majinga ni mengi sana! Nchi ya mazombi hii!

Uliweka nyumba dhamana ,umeshindwa kulipa au kumalizia deni unatakaje.

Nyie wajinga kajifunzeni mikopo ya Kichina ilivyo.
 
Braza utakuwa shule huna au?? Hata kama riba iweje ......million 3.......na kashaanza kurejesha mkopo ndio huuze nyumba yake ? Kweli? Hivi kama angekuwa ni ndugu yako huyu jamaa ungeongea hiki ulicho ongea? Kapotea Ben saanane hata wengine hamumufahamu ila katetewa na kira mtu....HAKI.... ni jambo la kira mtu lisibague wala kuwa la aina fulani kisa linaenda kwa mtu fulani hawe wa juu au chini.......mungu akubariki
Muungwana hutimiza mkataba, umekopa, kwa hiyari umeweka dhamana, kwamba ukishindwa kulipa nyumba iuzwe, inauzwa, unapewa chenji yako inayobaki, na benki wanachukua chao
 
Kama mtu umekopa milioni 3 huku ana nyumba ya 50m ikawaje akaanza kusumbua kurudisha mkopo? Tatizo wenye nyumba wengi Tanzania ni maskini... mtu hajajiimarisha kiuchumi anaenda kutumbukiza 50m kwenye nyumba. Matokeo yake ndo hizi aibu za kushindwa rejesho la 3m.
Una nyumba ya 50M alafu unaenda kulalamika hadharani kushindwa kulipa 3M?
Somethings just remain the same!
 
Kama mtu umekopa milioni 3 huku ana nyumba ya 50m ikawaje akaanza kusumbua kurudisha mkopo? Tatizo wenye nyumba wengi Tanzania ni maskini... mtu hajajiimarisha kiuchumi anaenda kutumbukiza 50m kwenye nyumba. Matokeo yake ndo hizi aibu za kushindwa rejesho la 3m.
Watu ni wajinga na badala ya kujadili kiini cha tatizo wanashangilia ujinga. Nchi yetu tatizo ni CCM. Situation ya aina hii ilipaswa isitokee kama kungekuwa na uongozi bora.
 
Lakini hamuoni kuwa tatizo ni serikali yenyewe kufumbia macho vi-saccos ku operate kwa mtindo huo? Hili analofanya Makonda la kusema tia watu ly ndani ni uhuni. Nchi haindeshwa kwa viongozi kutoa amri kuwa watu wawekwe ndani.
Hizi saccos zina regulations, hazinoperate wildly bila overwhatch. Kuna body ya serikali ina shughulika nao. Kilichotokea kwa huyo baba ni misconduct kwenye saccos husika, hamna kosa la serikali hapa.
Suala la kusema weka ndani, ni baada ya muhusika kupeleka mamalamiko, ( una uhakika gani muhusika hakuwahi kwenda polisi au kwenye vyombo vya sheria before?
 
Haya mambo yanahitaji yafanyike kwa kufuata taratibu na sheria. Hivi huoni kama ni kweli nyumba ya kiasi hicho imeuzwa kwa sababu ya milioni 3 basi kama nchi tuna shida kubwa kabisa na suhuhisho siyo kuweka watu ndani? BTW huuze = uuze, kira = kila, hawe = awe,
Kuwashwa kuwashwaa ............mbaya zaiidi kuwashwa bila basha ........wenzanko wanapakwa futa wewe una jinyea kwa mawazo ooh kwa mawazoo ooh
 
Kama mtu umekopa milioni 3 huku ana nyumba ya 50m ikawaje akaanza kusumbua kurudisha mkopo? Tatizo wenye nyumba wengi Tanzania ni maskini... mtu hajajiimarisha kiuchumi anaenda kutumbukiza 50m kwenye nyumba. Matokeo yake ndo hizi aibu za kushindwa rejesho la 3m.
umeongea kitoto sana, yaani kama mtu wa miaka 15 usiye elewa maisha ni nini

sema umejaliwa kujua kusoma na kuandika ila akili ya kuchambua mambo naomba nikwambie hauna hata kidogo
 
Safi sana Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Makonda. Kamata wote tupa ndani .maana haiwezekani mtu uuze nyumba ya millioni 50 kwa mkopo wa milioni 3,wakati mhusika akiendelea kufanya marejesho bila shida ya aina yoyote ile.huo ni uhuni na utapeli mkubwa sana ambao haupaswi kufumbiwa macho hata kidogo. Hata wewe unatetea ujinga na utapeli huu kwa kuwa tu hayajakukuta na kukupata.
Aisee kumbe mara chache huwa unamiliki akili nilijuaga zimefyatuka mazima
 
Kuwashwa kuwashwaa ............mbaya zaiidi kuwashwa bila basha ........wenzanko wanapakwa futa wewe una jinyea kwa mawazo ooh kwa nawazoo ooh
Nilijua wewe ni mtu wa hovyo kutokana na unavyoshindwa hata kuandika maneno rahisi ya kiswahili. Mawazo muda wote yako kwenye kulawitiwa na kulawitiana. Typical bongo mindset!
 
Muungwana hutimiza mkataba, umekopa, kwa hiyari umeweka dhamana, kwamba ukishindwa kulipa nyumba iuzwe, inauzwa, unapewa chenji yako inayobaki, na benki wanachukua chao
Naamini kama wameuza nyumba ya milioni 50 .........basi hata waishushe thamani iwe 40......wakiuza si chao ni milion 3......hizo nyingine ziko wapi? Wangekuwa wamefata mkataba huo huyu jamaa hasingekuja kwa makonda
 
View attachment 2985133
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.

Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha za mabenki, ambazo kimsingi ni za wananchi, zinaweza zisilipwe, kwa kuwa wanaozikusanya wanakamatwa na Mkuu wa Mkoa, hivyo wakopaji watakuwa wanakula bata wakati mabenki yanafilisika.

Baada ya hapo fedha zetu zitakuwa salama katika mabenki?
Umepost upupu gani yani mtu anadaiwa miliion 3 unamuuzia Nyumba? Hizi Demokrasia zinatumika vibaya watu kama hawa ni wakunyonga tu.
 
Hizi saccos zina regulations, hazinoperate wildly bila overwhatch. Kuna body ya serikali ina shughulika nao. Kilichotokea kwa huyo baba ni misconduct kwenye saccos husika, hamna kosa la serikali hapa.
Suala la kusema weka ndani, ni baada ya muhusika kupeleka mamalamiko, ( una uhakika gani muhusika hakuwahi kwenda polisi au kwenye vyombo vya sheria before?
Una uhakika gani maelezo aliyotoa mkopaji ni ukweli kwa asilimia zote? Kama kuna body zinasimamia hizo saccos ilikuwaje nyumba iuzwe? BTW the whole scenario ya nyumba kuuzwa kwenye mazingira kama haya huoni kuwa inaonyesha serikali haifanyi kazi? Kama mtu anaweza kuja na kuuza nyumba yako bila kufauata utaratibu na vyombo vya serikali vinavyo deal na mambo kama haya vikashindwa kukusaidia huoni tuko kwenye nchi ya ajabu kabisa?
 
View attachment 2985133
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.

Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha za mabenki, ambazo kimsingi ni za wananchi, zinaweza zisilipwe, kwa kuwa wanaozikusanya wanakamatwa na Mkuu wa Mkoa, hivyo wakopaji watakuwa wanakula bata wakati mabenki yanafilisika.

Baada ya hapo fedha zetu zitakuwa salama katika mabenki?
Wateja waliokopa kwenye kampuni ya Heritage financing limited, ya mkoani Arusha, wafike kumuona makonda!
Wameuziwa nyumba Kila kona
 
View attachment 2985133
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.

Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha za mabenki, ambazo kimsingi ni za wananchi, zinaweza zisilipwe, kwa kuwa wanaozikusanya wanakamatwa na Mkuu wa Mkoa, hivyo wakopaji watakuwa wanakula bata wakati mabenki yanafilisika.

Baada ya hapo fedha zetu zitakuwa salama katika mabenki?
Sikutaka kukomenti chochote lakini nadhani una udhaifu mkubwa wa kuelewa.
Siku hizi SACCOS imekuwa benki?
Na hii usemayo kuwa mabenki yatafilisika nchi nzima ,research umeifanya lini?
Ipo siku Makonda atakuwa kiongozi wa juu kabisa,
I pray for him.
 
Back
Top Bottom