This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Tz majinga ni mengi sana! Nchi ya mazombi hii!Safi sana Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Makonda. Kamata wote tupa ndani .maana haiwezekani mtu uuze nyumba ya millioni 50 kwa mkopo wa milioni 3,wakati mhusika akiendelea kufanya marejesho bila shida ya aina yoyote ile.huo ni uhuni na utapeli mkubwa sana ambao haupaswi kufumbiwa macho hata kidogo. Hata wewe unatetea ujinga na utapeli huu kwa kuwa tu hayajakukuta na kukupata.
Uliweka nyumba dhamana ,umeshindwa kulipa au kumalizia deni unatakaje.
Nyie wajinga kajifunzeni mikopo ya Kichina ilivyo.