Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

Tz majinga ni mengi sana! Nchi ya mazombi hii!

Uliweka nyumba dhamana ,umeshindwa kulipa au kumalizia deni unatakaje.

Nyie wajinga kajifunzeni mikopo ya Kichina ilivyo.
 
Muungwana hutimiza mkataba, umekopa, kwa hiyari umeweka dhamana, kwamba ukishindwa kulipa nyumba iuzwe, inauzwa, unapewa chenji yako inayobaki, na benki wanachukua chao
 
Una nyumba ya 50M alafu unaenda kulalamika hadharani kushindwa kulipa 3M?
Somethings just remain the same!
 
Watu ni wajinga na badala ya kujadili kiini cha tatizo wanashangilia ujinga. Nchi yetu tatizo ni CCM. Situation ya aina hii ilipaswa isitokee kama kungekuwa na uongozi bora.
 
Lakini hamuoni kuwa tatizo ni serikali yenyewe kufumbia macho vi-saccos ku operate kwa mtindo huo? Hili analofanya Makonda la kusema tia watu ly ndani ni uhuni. Nchi haindeshwa kwa viongozi kutoa amri kuwa watu wawekwe ndani.
Hizi saccos zina regulations, hazinoperate wildly bila overwhatch. Kuna body ya serikali ina shughulika nao. Kilichotokea kwa huyo baba ni misconduct kwenye saccos husika, hamna kosa la serikali hapa.
Suala la kusema weka ndani, ni baada ya muhusika kupeleka mamalamiko, ( una uhakika gani muhusika hakuwahi kwenda polisi au kwenye vyombo vya sheria before?
 
Kuwashwa kuwashwaa ............mbaya zaiidi kuwashwa bila basha ........wenzanko wanapakwa futa wewe una jinyea kwa mawazo ooh kwa mawazoo ooh
 
umeongea kitoto sana, yaani kama mtu wa miaka 15 usiye elewa maisha ni nini

sema umejaliwa kujua kusoma na kuandika ila akili ya kuchambua mambo naomba nikwambie hauna hata kidogo
 
Aisee kumbe mara chache huwa unamiliki akili nilijuaga zimefyatuka mazima
 
Kuwashwa kuwashwaa ............mbaya zaiidi kuwashwa bila basha ........wenzanko wanapakwa futa wewe una jinyea kwa mawazo ooh kwa nawazoo ooh
Nilijua wewe ni mtu wa hovyo kutokana na unavyoshindwa hata kuandika maneno rahisi ya kiswahili. Mawazo muda wote yako kwenye kulawitiwa na kulawitiana. Typical bongo mindset!
 
Muungwana hutimiza mkataba, umekopa, kwa hiyari umeweka dhamana, kwamba ukishindwa kulipa nyumba iuzwe, inauzwa, unapewa chenji yako inayobaki, na benki wanachukua chao
Naamini kama wameuza nyumba ya milioni 50 .........basi hata waishushe thamani iwe 40......wakiuza si chao ni milion 3......hizo nyingine ziko wapi? Wangekuwa wamefata mkataba huo huyu jamaa hasingekuja kwa makonda
 
Umepost upupu gani yani mtu anadaiwa miliion 3 unamuuzia Nyumba? Hizi Demokrasia zinatumika vibaya watu kama hawa ni wakunyonga tu.
 
Una uhakika gani maelezo aliyotoa mkopaji ni ukweli kwa asilimia zote? Kama kuna body zinasimamia hizo saccos ilikuwaje nyumba iuzwe? BTW the whole scenario ya nyumba kuuzwa kwenye mazingira kama haya huoni kuwa inaonyesha serikali haifanyi kazi? Kama mtu anaweza kuja na kuuza nyumba yako bila kufauata utaratibu na vyombo vya serikali vinavyo deal na mambo kama haya vikashindwa kukusaidia huoni tuko kwenye nchi ya ajabu kabisa?
 
Wateja waliokopa kwenye kampuni ya Heritage financing limited, ya mkoani Arusha, wafike kumuona makonda!
Wameuziwa nyumba Kila kona
 
Sikutaka kukomenti chochote lakini nadhani una udhaifu mkubwa wa kuelewa.
Siku hizi SACCOS imekuwa benki?
Na hii usemayo kuwa mabenki yatafilisika nchi nzima ,research umeifanya lini?
Ipo siku Makonda atakuwa kiongozi wa juu kabisa,
I pray for him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…