4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
umetumwa na bank ipi ? kwann wamekamatwa ? yaan Makonda akamate mtu kisa kaja kukusanya deni lake ambayo sio kosa kisheria , Siku hz watu si wajinga kuandika nusu nusu ili mumchafue mtuBila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.
Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha za mabenki, ambazo kimsingi ni za wananchi, zinaweza zisilipwe, kwa kuwa wanaozikusanya wanakamatwa na Mkuu wa Mkoa, hivyo wakopaji watakuwa wanakula bata wakati mabenki yanafilisika.
Baada ya hapo fedha zetu zitakuwa salama katika mabenki?
SIMPEND MAKONDA ILA HII TAARIFA INA MAPUNGUFU MENGI SANA KUMJUDGE MAKONDA
