Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

umetumwa na bank ipi ? kwann wamekamatwa ? yaan Makonda akamate mtu kisa kaja kukusanya deni lake ambayo sio kosa kisheria , Siku hz watu si wajinga kuandika nusu nusu ili mumchafue mtu

SIMPEND MAKONDA ILA HII TAARIFA INA MAPUNGUFU MENGI SANA KUMJUDGE MAKONDA
 
very bold leader of modern times
 
Tz majinga ni mengi sana! Nchi ya mazombi hii!

Uliweka nyumba dhamana ,umeshindwa kulipa au kumalizia deni unatakaje.

Nyie wajinga kajifunzeni mikopo ya Kichina ilivyo.
Kwamba Makonda ni mjinga kumlinda mtu aliyechukua mkopo kisha kashindwa kulipa , Msipende kujadili mambo kwa chuki zenu binafsi kwa mtu fulani , huu ujinga wenu unakera sana , Hao wakusanya madeni kuna namna walitoka nje ya ethics zao , Makonda haez kuwa mwehu hivyo kubattle na bank
 
ukute huelew lolote kwenye huu mkasa ila unavyoelezea , watz sijui nan kawaloga , kwamba mtu ashindwe kulipa deni halafu Makonda aje amkingie kifua huyo mtu ? CHUKI IKIZIDI UTATIWA MIMBOR TU
 


Unaongeza chumvi ukisema ma Bank, hao ni watoa mikopo wahuni.
 
Hujasema kwa nini wanakamatwa,be transparent.Hawezi kuwakakata bila sababu,inawezekana mnauza mali za wateja bila kujali thamani halisi au mnawaibia wateja kwa ku-collude na wanunuzi kwa ku-fix bei zinazowaibia.
 
Mikopo ina muda maalum wa kulipa, una mkataba wa mwaka mmoja umalize deni, sasa miaka mitatu imepita, unatakiwa rejesho la laki tano kila mwezi, wewe unapeleka elfu ishirini eti unadai bado unarejesha
Sheria za madai zina taratibu zake. Na kufilisi pia kuna taratibu zake na kuna vibali. Ndo maana nikasema ukimpa mtu mkopo wa M3 na liriba likubwa lisilofuata miongozo ya BOT halafu dhamana ni nyumba huna akili maana hiyo nyumba mkopaji akiweka kizingiti kidogo tu unaingia kwenye matatizo.
 
Sheria za madai zina taratibu zake. Na kufilisi pia kuna taratibu zake na kuna vibali. Ndo maana nikasema ukimpa mtu mkopo wa M3 halafu dhamana ni nyumba huna akili maana hiyo nyumba mkopaji akiweka kizingiti kidogo tu unaingia kwenye matatizo.
Akaweke
 
Huyu Chiembe hana uelewa kabisa. Yeye ni chawa tu. Anawakilisha machawa wa, hovyo kabisa.
 
Tz majinga ni mengi sana! Nchi ya mazombi hii!

Uliweka nyumba dhamana ,umeshindwa kulipa au kumalizia deni unatakaje.

Nyie wajinga kajifunzeni mikopo ya Kichina ilivyo.
Hapana,,kunamama sengerema kalipa deni lots lakini NMB hawajpa hati yake ya Nyumba,je hapo unasemaje kama wakikamtwa watu wa NMB?So tusilaumu watu wanaokopa wanapolalamika kuonewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…