Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Usikariri boss. Kuna miongozo na taratibu chini ya BOT ya kutoa mikopo na kufilisi.Hakuna lazima alipe yote huo ndio ya utaratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikariri boss. Kuna miongozo na taratibu chini ya BOT ya kutoa mikopo na kufilisi.Hakuna lazima alipe yote huo ndio ya utaratibu
Wewe acha kuongea kwa mihemko. Kilichouzwa ni dhamana ya mkopo. Kama alidhamini mkopo wake kwa nyumba ya 50M hiyo hiyo ndio itakayouzwa deni lifutwe, chench yako utapewa. Pia hawatajisumbua kutafuta mteja wa 50M hata akipatikana wa 30M itauzwa wakate deni laoKuna madeni yakuuza nyumba ila sio Million tatu ! sehemu kama Arusha CC kiwanja cha millioni tatu utakipata mtoni sembuse Nyumba ?
hivi huyu jamaa alisoma managemnt kweli? mbna hajui JD zake jamani? yaani mtu akakope mwenyewe tena kwa kkidhi vigezo halafu aje mtu aingilie?Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.
Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha za mabenki, ambazo kimsingi ni za wananchi, zinaweza zisilipwe, kwa kuwa wanaozikusanya wanakamatwa na Mkuu wa Mkoa, hivyo wakopaji watakuwa wanakula bata wakati mabenki yanafilisika.
Baada ya hapo fedha zetu zitakuwa salama katika mabenki?
Mkataba aliosaini ndio final sayUsikariri boss. Kuna miongozo na taratibu chini ya BOT ya kutoa mikopo na kufilisi.
Ndo maana nakuambia Bank hawafanyagi huu ujinga. Kuchukua nyumba ya M50 kudhamini mkopo wa M3 kwa mtu ambaye hana capacity. Wanajua akishindwa wao ndo wanapoteza sababu kwa vigezo vya BOT huyu hakopesheki. Shida ni hizi taasisi uchwara.Wewe acha kuongea kwa mihemko. Kilichouzwa ni dhamana ya mkopo. Kama alidhamini mkopo wake kwa nyumba ya 50M hiyo hiyo ndio itakayouzwa deni lifutwe, chench yako utapewa. Pia hawatajisumbua kutafuta mteja wa 50M hata akipatikana wa 30M itauzwa wakate deni lao
Hapana. Kuna vigezo vya mikataba. Na hii nchi ina taasisi za serikali za kumlinda mkopaji na taasisi za fedha lazima zipeleke mikataba huko ipitiwe kwa fee maalumu.Mkataba aliosaini ndio final say
Tukiweka "emotions" pembeni.Haya mambo yanahitaji yafanyike kwa kufuata taratibu na sheria. Hivi huoni kama ni kweli nyumba ya kiasi hicho imeuzwa kwa sababu ya milioni 3 basi kama nchi tuna shida kubwa kabisa na suhuhisho siyo kuweka watu ndani? BTW huuze = uuze, kira = kila, hawe = awe,
Nendeni mkamtoe meneja wa Kausha damu na Dalali wake Lupango, Popoyo zenu huku mtandaoni ni kujaza server tu.Wewe acha kuongea kwa mihemko. Kilichouzwa ni dhamana ya mkopo. Kama alidhamini mkopo wake kwa nyumba ya 50M hiyo hiyo ndio itakayouzwa deni lifutwe, chench yako utapewa. Pia hawatajisumbua kutafuta mteja wa 50M hata akipatikana wa 30M itauzwa wakate deni lao
Saccos na makampuni ya ukopeshaji yameibuka ili kukidhi mahitaji ya soko. Mara nyingi Mabenki hayatoiNdo maana nakuambia Bank hawafanyagi huu ujinga. Kuchukua nyumba ya M50 kudhamini mkopo wa M3 kwa mtu ambaye hana capacity. Wanajua akishindwa wao ndo wanapoteza sababu kwa vigezo vya BOT huyu hakopesheki. Shida ni hizi taasisi uchwara.
Na ndio maana BOT ikatoa miongozo kwa microfinance ili kumlinda mkopaji maana mtu mwenye shida ni kama anakuwa hayupo timamu na anaweza asijali sana mkataba unasemaje, anasaini tu. Baadae ndo anazinduka.Saccos na makampuni ya ukopeshaji yameibuka ili kukidhi mahitaji ya soko. Mara nyingi Mabenki hayatoi
mikopo midogo sababu ya gharama za kuhudumia mikopo ya aina hiyo, hivyo ndiyo maana hata BOT wanatoa vibali uanzishwaji wa makampuni ya ukopeshaji.
Tatizo mkopaji huwa anakwenda kukopa akitilia kipau mbele shida inayomkabili kuliko shida inayoweza
kumpata iwapo atashindwa kurudisha mkopo husika.
Kwenye hili ninasimama na Makonda.Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.
Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha za mabenki, ambazo kimsingi ni za wananchi, zinaweza zisilipwe, kwa kuwa wanaozikusanya wanakamatwa na Mkuu wa Mkoa, hivyo wakopaji watakuwa wanakula bata wakati mabenki yanafilisika.
Baada ya hapo fedha zetu zitakuwa salama katika mabenki?
shirikisha akili yako. Usikimbilie kujificha nyuma ya mikataba na miongozo mibovu inayotumiwa na wakopeshaji.Huyo anayedai nyumba yake kuuzwa kwa deni la milioni 3 anajua maana ya dhamana? Na kama aliona hiyo nyumba ina thamani kubwa kuliko huo mkopo aliochukua kwanini hakuweka dhamana nyingine inayoendana na mkopo aliochukua?
Yeye anafikiria hiyo taasisi itapataje pesa yake na muda wa mkopo umeshapita!
Makonda aache uchochezi amwambie ukweli jamaa kama hataki nyumba yake iuzwe alipe deni la watu aache janjajanja.
Yeye angeacha kuchukua hela za watu kama aliona masharti ya dhamana yamembana.
Kuna mtu alikuwa kama wewe mpaka siku alipouguliwa akajikuta kaingia mikopo umiza haraka haraka anasaini tu hazingatii sana. Akawa analipa mara avushe mwezi, mara alipe nusu ya rejesho, Baadae akajipata anataka kulipa anakuta riba na penati vinazidi mkopo na hata mwaka haujaisha. Uzuri na yeye alikuwa mtoto wa mjini huwezi mnyang'anya nyumba kizembe.Huyo anayedai nyumba yake kuuzwa kwa deni la milioni 3 anajua maana ya dhamana? Na kama aliona hiyo nyumba ina thamani kubwa kuliko huo mkopo aliochukua kwanini hakuweka dhamana nyingine inayoendana na mkopo aliochukua?
Yeye anafikiria hiyo taasisi itapataje pesa yake na muda wa mkopo umeshapita!
Makonda aache uchochezi amwambie ukweli jamaa kama hataki nyumba yake iuzwe alipe deni la watu aache janjajanja.
Yeye angeacha kuchukua hela za watu kama aliona masharti ya dhamana yamembana.
Tafuta milioni 50 yako kisha uitumbukize kwa namna inayofaa.Kama mtu umekopa milioni 3 huku ana nyumba ya 50m ikawaje akaanza kusumbua kurudisha mkopo? Tatizo wenye nyumba wengi Tanzania ni maskini... mtu hajajiimarisha kiuchumi anaenda kutumbukiza 50m kwenye nyumba. Matokeo yake ndo hizi aibu za kushindwa rejesho la 3m.
Sawa na sahihi kabisaTafuta milioni 50 yako kisha uitumbukize kwa namna inayofaa.
Hiyo nyumba ina thamani ya milioni 50 sio kwamba aliijenga kwa kiasi hicho.
Ila mkopo ukiwa na dhamana maana yake mtu asipolipa kwa muda uliowekwa dhanana inaondoka. Huyo baba hawezi kukwepa lawama ya kushindwa kulipa mkopo.
Baadhi ya watu wanafikiri mkopo ni sadaka. Mtu anakopa kwa madhumuni mengine halafu anafanyia madhununi mengine mwishowe anaishia kulalamika.
mkuu nilisema una akili za kitoto baada ya majibu haya nimegundua hata hizo akili za kitoto huna kabisa mkuuWewe mpumbavu ungekaa kimya. Sasa hapo Makonda kachukua tu maamuzi ya kisiasa ila mahakamani huyo aliyeuziwa nyumba hachomoki na anaweza ongezewa deni la kulipa gharama za kesi. Acheni kutaka huruma kwenye biashara za watu.
Mkopo si sadaka. Mkopo lazima ulipwe ila Haiwezekani kabisa mtu akaja kukopa M3, umetazama uwezo wa kurejesha anao, riba ni fair, halafu ashindwe kurejesha mpaka nyumba ya M50 iuzwe. Ni either alikuwa hakopesheki ila ukaitamani nyumba yake, au riba ni kubwa mno.Tafuta milioni 50 yako kisha uitumbukize kwa namna inayofaa.
Hiyo nyumba ina thamani ya milioni 50 sio kwamba aliijenga kwa kiasi hicho.
Ila mkopo ukiwa na dhamana maana yake mtu asipolipa kwa muda uliowekwa dhanana inaondoka. Huyo baba hawezi kukwepa lawama ya kushindwa kulipa mkopo.
Baadhi ya watu wanafikiri mkopo ni sadaka. Mtu anakopa kwa madhumuni mengine halafu anafanyia madhununi mengine mwishowe anaishia kulalamika.
Hizo story za kutunga hazisaidii lolote yeye alipe deni la watu,yeye mwenyewe anacholalamika ni kuuzwa nyumba yake kwa deni la milioni 3 wala hakusema kabambikiwa riba kubwa lakini anachosahau hiyo dhamana aliiweka yeye mwenyewe kwa sababu alikuwa na chaguo la kuweka dhamana nyingine kama anayo lakini pia angeweza kuacha kuchukua hela ya watu suala la kubanwa na shida sio kigezo cha kuchukua hela ya mtu halafu mwenyewe akidai hela zake uanze kutafuta huruma kwa watu au kama vipi mshaurini huyo Makonda aanzishe taasisi ya kusaidia watu wenye shida ya pesa halafu asiwadai.Kuna mtu alikuwa kama wewe mpaka siku alipouguliwa akajikuta kaingia mikopo umiza haraka haraka anasaini tu hazingatii sana. Akawa analipa mara avushe mwezi, mara alipe nusu ya rejesho, Baadae akajipata anataka kulipa anakuta riba na penati vinazidi mkopo na hata mwaka haujaisha. Uzuri na yeye alikuwa mtoto wa mjini huwezi mnyang'anya nyumba kizembe.
Sio stori za kutunga. Binafsi nimeshakuwa sehemu ya vita mara mbili na madalali wa taasisi uchwara na nikaishinda.Hizo story za kutunga hazisaidii lolote yeye alipe deni la watu,yeye mwenyewe anacholalamika ni kuuzwa nyumba yake kwa deni la milioni 3 wala hakusema kabambikiwa riba kubwa lakini anachosahau hiyo dhamana aliiweka yeye mwenyewe kwa sababu alikuwa na chaguo la kuweka dhamana nyingine kama anayo lakini pia angeweza kuacha kuchukua hela ya watu suala la kubanwa na shida sio kigezo cha kuchukua hela ya mtu halafu mwenyewe akidai hela zake uanze kutafuta huruma kwa watu au kama vipi mshaurini huyo Makonda aanzishe taasisi ya kusaidia watu wenye shida ya pesa halafu asiwadai.