Pre GE2025 Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha

Pre GE2025 Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha.

Binafsi nimependa sana ni moja ya michezo ninayo ipenda.

Nchi inatakiwa kutumia kila kitu chake kwa faida kama vijana wanaona ni kitu kinafaha ni vyme akakipa nguvu tu hatupaswi kudharau mambo kama aya duniani uko watu wanaingiza pesa nyingi kwa michezo na kutengeneza content za namna iyo wazee wakibongo hawawezi kumuelewa mwamba kiraisi lakin sisi vijana tunampata vizuri kwenye ilo jambo [emoji1306][emoji1306]
 
Hii michezo ilikuwepo miaka mingi kabla hajaja aisee wacheni uongo, lakilaki pale kila j2 kinawashwa, kipindi hiyo ya kina baba dee na mbung'o kwani makonda alikuwepo aisee hii mambo ipo zamani mpaka kina pea wameshastaafu sasa mnasema makonda aisee
 
Jambo jema..., Sponsor ni nani ? Isijekuwa huu nao ni Mradi wa MIRADI yaani kodi zetu ndio zinatumika kunufaisha wachache....

Zaidi ya hapo ni jambo jema kama michezo hii itajiendesha huenda hata ikapatikana pesa zaidi..., ANGALIZO mtu asijetumia pikipiki ya BOSS kwenye haya mashindano / michezo akaharibu kitendea kazi....
 
Hii michezo ilikuwepo miaka mingi kabla hajaja aisee wacheni uongo, lakilaki pale kila j2 kinawashwa, kipindi hiyo ya kina baba dee na mbung'o kwani makonda alikuwepo aisee hii mambo ipo zamani mpaka kina pea wameshastaafu sasa mnasema makonda aisee
Mkuuu acha povu unaumia ukiwa wap mkuuu
 
Labda aipe hype tu ila katika michezo inayopendwa Arusha ni pamoja na mashindano ya magari na pikipiki.

Nakumbuka miaka yote nikiwa nyumbani Arusha kuattend Rally nyingi tu.

Hivyo sio jambo jipya.
 
Hii michezo ilikuwepo miaka mingi kabla hajaja aisee wacheni uongo, lakilaki pale kila j2 kinawashwa, kipindi hiyo ya kina baba dee na mbung'o kwani makonda alikuwepo aisee hii mambo ipo zamani mpaka kina pea wameshastaafu sasa mnasema makonda aisee
Ni kweli ilikuwepo lakini je kuna mkuu wa mkoa yeyote aliyeonyesha support kama ya jamaa? Huyu jamaa hata akipewa cheo cha mwenye kiti wa mtaa atawaonyrsha watu jinsi inavyotakiwa kufanya 😂
 
Labda aipe hype tu ila katika michezo inayopendwa Arusha ni pamoja na mashindano ya magari na pikipiki.

Nakumbuka miaka yote nikiwa nyumbani Arusha kuattend Rally nyingi tu.

Hivyo sio jambo jipya.
Kuchukua credit na ku-ride the bandwagon ni moja ya talent na unafiki wa mwanasiasa...; Ingawa the End Justifies the Means....
 
Michezo ilikuwepo huko
Na kwengineko
Ila tu muwakatie bima hao
Siyo wakivunjika mgongo miguu
Mnawatupa

Ov
 
Back
Top Bottom