macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kazi ya mkuu wa mkoa hii?Nchi inatakiwa kutumia kila kitu chake kwa faida kama vijana wanaona ni kitu kinafaha ni vyme akakipa nguvu tu hatupaswi kudharau mambo kama aya duniani uko watu wanaingiza pesa nyingi kwa michezo na kutengeneza content za namna iyo wazee wakibongo hawawezi kumuelewa mwamba kiraisi lakin sisi vijana tunampata vizuri kwenye ilo jambo [emoji1306][emoji1306]