Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Sana sana huko ArushqWatu wanajua kuendesha piki piki sio mchezo,hongera makonda kwa kuvumbua vipaji.
Mkuuu acha povu unaumia ukiwa wap mkuuuHii michezo ilikuwepo miaka mingi kabla hajaja aisee wacheni uongo, lakilaki pale kila j2 kinawashwa, kipindi hiyo ya kina baba dee na mbung'o kwani makonda alikuwepo aisee hii mambo ipo zamani mpaka kina pea wameshastaafu sasa mnasema makonda aisee
Ni kweli ilikuwepo lakini je kuna mkuu wa mkoa yeyote aliyeonyesha support kama ya jamaa? Huyu jamaa hata akipewa cheo cha mwenye kiti wa mtaa atawaonyrsha watu jinsi inavyotakiwa kufanya 😂Hii michezo ilikuwepo miaka mingi kabla hajaja aisee wacheni uongo, lakilaki pale kila j2 kinawashwa, kipindi hiyo ya kina baba dee na mbung'o kwani makonda alikuwepo aisee hii mambo ipo zamani mpaka kina pea wameshastaafu sasa mnasema makonda aisee
Kuchukua credit na ku-ride the bandwagon ni moja ya talent na unafiki wa mwanasiasa...; Ingawa the End Justifies the Means....Labda aipe hype tu ila katika michezo inayopendwa Arusha ni pamoja na mashindano ya magari na pikipiki.
Nakumbuka miaka yote nikiwa nyumbani Arusha kuattend Rally nyingi tu.
Hivyo sio jambo jipya.
Mount Meru hospital, ijiandae kuwapokea au kujenga wodi ya Walemavu wa UTI wa mgongo, miguu na mikono.Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha.
Binafsi nimependa sana ni moja ya michezo ninayo ipenda.
View attachment 2978123