Pre GE2025 Makonda adai kuwindwa na Watu 8

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ipo siku Makonda ataachia mzigo kwenye mikutano ili tu atrend.
Makonda hawezi danganya chief!hata akiwa mwenezi alinusurika ajali Ile,baada ya hapo hakuendelea Tena hadi alipopewa majukumu mengine!!

Hiyo ishu ni real na ameamua kusanua ili kujilinda Ili na hao jamaa wa back off!

Hilo nyomi kwenye mikutano yake inaumiza Sana wapiga deal na kuwa outshine wakubwa kwenye mishe zao!
 
Kiondoe ufisadi kwa aina ya watu haohao?
 
Huyu mjinga anadeka ili apewe ulinzi kama ilivyokuwa enzi za dhalim Magufuli.
 
Hakuna mtu wa kujishuhulisha na Bashite anatafuta kiki za kijinga.
 
Awindwe na nani mpumbavu tu huyu. Damu za watu alioua zinamtesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…