Pre GE2025 Makonda adai kuwindwa na Watu 8

Pre GE2025 Makonda adai kuwindwa na Watu 8

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.

Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.

Ujumbe wake huu hapa
---

Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
Ok
 
Makonda alisema pia akiwa hapo ofisi ya mkoa (Arusha) akikupa huo ukuu wa mkoa kwa anavyowindwa utaurudisha kesho yake.
So his allegations shouldn't be taken lightly.
Sasa kaka kama marekan tu walimtuhumu kwa kuua na wamempiga burn maisha ,unategemea alioua huku mtaani wasimuweinde,yaan kabisa sabayo ambaye amelawiti wanaume na kuwaumiza ,mmoja ninamjua alimpiga na kitako cha bunduki pale kokoliko je ungekuwa ww ungeacha kumuwinda?? Hawa wasiingize serikali magu walimsaidia sana kuumiza watu.unajua kilicho mtoa makonda dar? Unajua ugomvi walioleteana na mdogo ake gsm
 
Jeshi lipo imara na waanze na mtuma ujumbe

Upo sahihi maana anataka kuleta majungu na chuki kwa watu asio wapenda na kutumia sababu hiyo kuwakomesha wabaya wake

hivi kweli mkuu wa mkoa ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi mkoa anatoa malalamiko kama hayo kwa waandishi wa habari au raia wasio kuwa na msaada wowote, si ni upuuzi huo? Akadanganye wajinga wenzake
 
Nani ambaye anaishi Tanzania ambaye hajui kwamba ukijifanya wewe ni mwamba wa kuwaumbua wabadhirifu ni lazima utatengenezewa kila aina ya uovu na hao hao wenzao ndani ya Chama. ?? 👁

Sisi wengine ni wahanga tunajua nini huwa kinafanywa hata ukianza kukosoa tu humo Chamani. 😳🙄
Sijasema kama anawindwa kweli au la. Ila nimesema huwa anajua sana kucheza na akili za 'wajinga', na huwa anawapata wengi.
 
Back
Top Bottom