Pre GE2025 Makonda adai kuwindwa na Watu 8

Pre GE2025 Makonda adai kuwindwa na Watu 8

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Badala atoe taarifa ktk vyombo vya usalama yeye anatoa taarifa ktk vyombo vya habari

Hizo zitakuwa ramli chonganishi
Kuna tofauti kubwa kati ya Private company na Public company,Wakati private unaweza kufanya na kutenda unavyotaka alimradi huvunji Sheria,Public company unafanya Sheria inavyotaka,vision na mission ya kampuni,malengo na msimamo wa kampuni,matendo mema ya kampuni ya umma yanalindwa ,kule Kampuni. . ilikokovurunda uchunguzi ufanyike ndani kwa ndani,bila hivyo inaweza kuwa umekalia tawi na unalikata tawi hilohilo matokeo yake wewe na tawi ukadondoka.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Private company na Public company,Wakati private unaweza kufanya na kutenda unavyotaka alimradi huvunji Sheria,Public company unafanya Sheria inavyotaka,vision na mission ya kampuni,malengo na msimamo ya kampuni,matendo mema ya kampuni ya umma yanalindwa ,kule Kampuni ilikovurunda marekebisho hufanyika ndani kwa ndani,bila hivyo inaweza kuwa umekalia tawi na tawi hilohilo unalikata matokeo yake wewe na tawi ukadondoka.
good analysis
 
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.

Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.

Ujumbe wake huu hapa
---

Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
Nayeye awawinde tu hakuna namna
 
Milioni 6 watu 8, ina maana kila mmoja laki 7.5, ila watu wana dhiki za kipumbavu na njaa za ajabu, sasa unamuwinda mtu kumdhuru au kumuua kisa laki 7.
 
Akili matope hizo. Mnabanana mbavu wenyewe huko CCM Chadema haina muda mchafu na huyo mpuuzi.
Arusha ni lazima mpoteane mazima, anafanya kazi kwa vitendo!, anagusa Jamii za chini, wananchi tunachoidai serekali ni huduma nzuri tu, wanasiasa tumewachoka kwa uongo wao na tunasema sasa basi kwa "" ""chadema ongo ongo! "" maneno mingiii!
 
Hata mkimpa nafasi ya mwenyekiti wa mtaa atawafunika hadi mawaziri
Huu ndo upuuzi wa Makonda.😄😄😄 yaani hata alivyopata uhamasishaji chipukizi UVCCM akaibuka na sakata la Mzee Warioba.. yaani jamaa haishiwi content. Sema alivyokuwa DC Kinondoni alikuwa mtu poa sana. Kwa wakazi wa Kinondoni wanaweza kuwa mashuhuda wa hili. Kazi alikua anapiga bila hata makamera.
 
Arusha ni lazima mpoteane mazima, anafanya kazi kwa vitendo!, anagusa Jamii za chini, wananchi tunachoidai serekali ni huduma nzuri tu, wanasiasa tumewachoka kwa uongo wao na tunasema sasa basi kwa "" ""chadema ongo ongo! "" maneno mingiii!
Hiyo sanaa yake ya majukwaani haimsaidii chochote zaidi ya kujichanganya tu. Chadema hawaongozi mtaa,kata wala jimbo lolote,mapungufu yote yanayoibuliwa yanaonyesha mapungufu ya CCM yenyewe sasa inaathiri vipi Chadema? Unaongea kama umekatwa kichwa. Hiyo ni vita yenu wenyewe maccm.
 
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.

Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.

Ujumbe wake huu hapa
---

Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
MunguBariki Lawama akikosekana kwenye watu 8 mniite asha d
 
Back
Top Bottom