Pre GE2025 Makonda adai kuwindwa na Watu 8

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
siasa za maji machafu
Kwa maovu yote alotenda waweke dau dogo iv kumumaliza aache uongo wape afanye kaz sku wakitaka kumkill ata iyo taalifa hatoipata wala kuisikia
 
Makonda hawezi danganya chief!hata akiwa mwenezi alinusurika ajali Ile,baada ya hapo hakuendelea Tena hadi alipopewa majukumu mengine!!

Hiyo ishu ni real na ameamua kusanua ili kujilinda Ili na hao jamaa wa back off!

Hilo nyomi kwenye mikutano yake inaumiza Sana wapiga deal na kuwa outshine wakubwa kwenye mishe zao!
Wapiga dili wa bongo wasumbuliwe na nyomi la wananchi kwenye mikutano ya kusutana.Hizo porojo za makonda zinaishia hapo hapo nakubaki tu kama stori za vijiwe vya kahawa.Hebu kua serious aise.
 
Huna ubongo?
Mbowe ni gaidi ndii maana anataka Katiba mpya ajisamehe.

Lissu, Lissu anaonekana?, kuwa na Usongo wa mawazo, viwewe, na kuweweseka (PTSD,Obsessive-compulsive disorder, phobia na panic disorder. Ndio maana kila anapoenda anakuwa ana wasiwasi kuwa anawindwa.

Na hayo yanahitaji Ubongo kung'amua?

Wewe kweli ni chawa.
 
Umethibitisha kwamba huna akili
 
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.

Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.

Ujumbe wake huu hapa
---

Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
Hakuna ugonjwa mbaya Duniani kama "UPUMBAVU"
 
With the way ana ride lazima a create number of enemies than friends. Kugusa maslahi ya watu ni issues
 
Inakuwaje Makonda anafanya mkutano mpaka usiku sheria na taratibu zipo vipo vipi hapo.
 
Nani akuue wewe acha kujipa promo
Ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi wa umma, amedhulumu uhai wa watu wengi Sana.

Amezuiwa kuingia US, amefilisi raia, sijui kwanini huyu amepewa nafasi youwakati hata aliyemfuga alimuogopa kwakuwa katili zaidi yake akaamua kumuacha.

Ni mtu asiye na tafakari kana kwamba hakuzaliwa na binadamu.

Mbeleko huchanika, ni mtu asiyepaswa hata kukaa uraiani tena kwenye ofisi za umma akitumia kodi zetu.
 
Aliyemrudisha mjini nilimdharau sana,sijui alituonaje watanzania,bashite alitakiwa kuwa benchi maisha yake yote
 
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.

Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.

Ujumbe wake huu hapa
---

Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
Kwani kama aliye windwa kwa silaha za kuulia tembo alidhurika kidogo tu na hadileo anaishi mwamba ataogopa nini mateja wa viwembe🤣
 
Back
Top Bottom