SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Na Lissu anawindwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna wazee alioshiriki kwa namna moja au nyingine kuwadhalilisha aende akawaombe radhi 👁Jamaa nyota anayo, tatizo anaitumia vibaya.. 🙂🙂🙂
Ndivyo itakavyokuwa 👁🤠Sana yaani Dkt Magufuli aliwindwa sana na wakamkosa kosa kwa sumu ila ndiyo hivyo tena tunajua kudra ilivyompata mtu.
Nchi hii ni nchi ya wezi na waovu, mtu yeyote ambaye siyo mwizi au mtu aliye na maadili anaonekana ni adui.
Inasikitisha sana. Ila kipo kizazi kitakuja chenye nia nzuri kitahakikisha waovu hawana nafasi ktk hii nchi.
Hata kama ni la kutungwa ??? 😳Lisemwalo lipo au laja.
Hata jiwe alikuwa anasema hivi hivi!
Mmmhh......kusema sema!!Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---
Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
ila uwez niacha naozea jeraKama mtekaji mwenyewe ni mimi itakuaje sasa.
Wachache wanakumbukaAongezewe Ulinzi 🐼
Rais Mkapa alimpa Ulinzi maalumu shujaa Magufuli 😄
Kama mkuu wa mkoa analalamika kuwindwa basi nchi imeoza.Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---
Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
Muda utasemaHata kama ni la kutungwa ??? 😳
Kwahiyo unaogopa speaker? Disc jockey (Dj) unamjua?ila uwez niacha naozea jera
Mimi ni mwanachama pia( bado yanki) na nakuelewa sana upo vizuri! Watu hawajui ndani ya chama vitu ni vizito mno ukitaka kwenda kinyume wanaku-derail immediately.Utawala huu hautaki mtu anaehoji upigaji wa fedha za umma!
Na hii ndio DNA ya chama changu iliomea na kukita mizizi ndani ya CCM!!
Ccm sio chama Tena Cha wakulima na wafanyakazi kama zamani Bali Cha wapiga dili na mafisadi!!
Anaetaka kuondoa Hali hiyo anatishiwa maisha coz hawataki asali izuiwe kutiririka!
Mungu kibariki chama changu CCM kiondoe ubadhirifu ndani ya chama!
Kama kawaida yake, anajua sana kucheza na akili za 'wajinga'Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---
Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
Yawezekana wapo au wasiwepo, Lakini kama aliwakosea kwenye uwanja wa siasa ni ngumu sana kuomba msamaha. 🤔🤔Kama kuna wazee alioshiriki kwa namna moja au nyingine kuwadhalilisha aende akawaombe radhi 👁
Laana zao huwa hazifutwi kwa kufanya toba bila kuwaomba wahusika walioumizwa mioyo yao 👁🙄😷
Kama ule wa Ruangwa. ???Watu nane wanamuwinda wanatumia silaha gani, chegimbo hawawezi kukwepa uhusika na wengineo, wasije kumtumia moshi.
Na Tanzania wajinga wengi anawapata.Makonda ni bingwa wa content hapoi. Anataka muda wote mumtaje 😂
Moshi ni dalili ya kuni ilishaungua kitambo sana, mkuu.Kama ule wa Ruangwa. ???
Kwa moshi tu hawamuwezi 😂😂
Nani ambaye anaishi Tanzania ambaye hajui kwamba ukijifanya wewe ni mwamba wa kuwaumbua wabadhirifu ni lazima utatengenezewa kila aina ya uovu na hao hao wenzao ndani ya Chama. ?? 👁Kama kawaida yake, anajua sana kucheza na akili za 'wajinga'
Nimeipenda hiiSasa si amesha mchoma huyo aliempa habari kama ilikuwa siri ya kundi tu.
Na huyo aliewatuma kama ni mtu powerful Tanzania si anaweza ondoa ushahidi wa hao watu.
Unless iwe kiki tu, vinginevyo uropokaji wa aina hiyo unaenda poteza maisha ya watu wengine kishamba wanaokutakia mema.
Nani tena anaweza mpa habari mbaya kama mtu mwenyewe ropo-ropo. Kuna wasaa ni muhimu kufikiria kabla ya kuongea na madhara ya kauli zako.