RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Wapiga dili wa bongo wasumbuliwe na nyomi la wananchi kwenye mikutano ya kusutana.Hizo porojo za makonda zinaishia hapo hapo nakubaki tu kama stori za vijiwe vya kahawa.Hebu kua serious aise.Makonda hawezi danganya chief!hata akiwa mwenezi alinusurika ajali Ile,baada ya hapo hakuendelea Tena hadi alipopewa majukumu mengine!!
Hiyo ishu ni real na ameamua kusanua ili kujilinda Ili na hao jamaa wa back off!
Hilo nyomi kwenye mikutano yake inaumiza Sana wapiga deal na kuwa outshine wakubwa kwenye mishe zao!
Big kwa ukubwa wa hayo makalio yake?Makonda ni Big Coming Political Giant
jamaa siasa anaijua vyede
Mbowe ni gaidi ndii maana anataka Katiba mpya ajisamehe.Huna ubongo?
Kama panyaMakonda ni bingwa wa content hapoi. Anataka muda wote mumtaje 😂
Umethibitisha kwamba huna akiliMbowe ni gaidi ndii maana anataka Katiba mpya ajisamehe.
Lissu, Lissu anaonekana?, kuwa na Usongo wa mawazo, viwewe, na kuweweseka (PTSD,Obsessive-compulsive disorder, phobia na panic disorder. Ndio maana kila anapoenda anakuwa ana wasiwasi kuwa anawindwa.
Na hayo yanahitaji Ubongo kung'amua?
Wewe kweli ni chawa.
Umeona wapi kwenye mada hii kuwa inafanya usaili wa Akili?Umethibitisha kwamba huna akili
Hakuna ugonjwa mbaya Duniani kama "UPUMBAVU"Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---
Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
With the way ana ride lazima a create number of enemies than friends. Kugusa maslahi ya watu ni issuesMkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---
Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
Wala sio nyota bongo ukiwa ata kama piere liquid unawashika kinouma.Jamaa nyota anayo, tatizo anaitumia vibaya.. 🙂🙂🙂
Ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi wa umma, amedhulumu uhai wa watu wengi Sana.Nani akuue wewe acha kujipa promo
Aliyemrudisha mjini nilimdharau sana,sijui alituonaje watanzania,bashite alitakiwa kuwa benchi maisha yake yoteNi mtu asiyefaa kuwa kiongozi wa umma, amedhulumu uhai wa watu wengi Sana.
Amezuiwa kuingia US, amefilisi raia, sijui kwanini huyu amepewa nafasi youwakati hata aliyemfuga alimuogopa kwakuwa katili zaidi yake akaamua kumuacha.
Ni mtu asiye na tafakari kana kwamba hakuzaliwa na binadamu.
Mbeleko huchanika, ni mtu asiyepaswa hata kukaa uraiani tena kwenye ofisi za umma akitumia kodi zetu.
Sema Jamaa, ameshikilia usukani mda mrefu sanaWala sio nyota bongo ukiwa ata kama piere liquid unawashika kinouma.
We jamaa unazidi kudhihirisha ujinga wakoUmeona wapi kwenye mada hii kuwa inafanya usaili wa Akili?
...Chawa la Gaidi Mbowe? Na PTSD Lissu. Umewachua leo?
Pima tena🐒
Kwani kama aliye windwa kwa silaha za kuulia tembo alidhurika kidogo tu na hadileo anaishi mwamba ataogopa nini mateja wa viwembe🤣Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---
Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
a.k.a uchawa anaojinadi kutoutaka🤣Badala atoe taarifa ktk vyombo vya usalama yeye anatoa taarifa ktk vyombo vya habari
Hizo zitakuwa ramli chonganishi
Ha ha. Ingekuwa kwamba umesema nimesema uongo labda ningesema unayo hoja.We jamaa unazidi kudhihirisha ujinga wako
Wajinga wenzio wote wako Ignore list, unafuatia weweHa ha. Ingekuwa kwamba umesema nimesema uongo labda ningesema unayo hoja.
ila Huna ulijualo.
Uchawa unakusumbua.