Pre GE2025 Makonda adai kuwindwa na Watu 8

Pre GE2025 Makonda adai kuwindwa na Watu 8

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aongezewe Ulinzi 🐼

Rais Mkapa alimpa Ulinzi maalumu shujaa Magufuli 😄
Sana yaani Dkt Magufuli aliwindwa sana na wakamkosa kosa kwa sumu ila ndiyo hivyo tena tunajua kudra ilivyompata mtu.

Nchi hii ni nchi ya wezi na waovu, mtu yeyote ambaye siyo mwizi au mtu aliye na maadili anaonekana ni adui.

Inasikitisha sana. Ila kipo kizazi kitakuja chenye nia nzuri kitahakikisha waovu hawana nafasi ktk hii nchi.
 
Sasa si amesha mchoma huyo aliempa habari kama ilikuwa siri ya kundi tu.

Na huyo aliewatuma kama ni mtu powerful Tanzania si anaweza ondoa ushahidi wa hao watu.

Unless iwe kiki tu, vinginevyo uropokaji wa aina hiyo unaenda poteza maisha ya watu wengine kishamba wanaokutakia mema.

Nani tena anaweza mpa habari mbaya kama mtu mwenyewe ropo-ropo. Kuna wasaa ni muhimu kufikiria kabla ya kuongea na madhara ya kauli zako.
 
Back
Top Bottom