Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Kesi ya Mwamba yule ni kubwa sana. Hata mimi ningeishia pale, hakua na jibu mkuu wa mkoa wala Mkurugenzi wa jiji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo hata ya kupiga debe bus zitajaza abiria vibaya. Hata km ulikuwa hutaki kusafiri utasafiri 😂Hata mkimpa nafasi ya mwenyekiti wa mtaa atawafunika hadi mawaziri
Tatizo nyotaHuyo hata ya kupiga debe bus zitajaza abiria vibaya. Hata km ulikuwa hutaki kusafiri utasafiri 😂
Sana yaani Dkt Magufuli aliwindwa sana na wakamkosa kosa kwa sumu ila ndiyo hivyo tena tunajua kudra ilivyompata mtu.Aongezewe Ulinzi 🐼
Rais Mkapa alimpa Ulinzi maalumu shujaa Magufuli 😄
Wewe na makonda nani mtafuta kiki kwa huu uzi wako 🤔Mkuu wa Mkoa mwenye vituko zaidi na mtafuta Kiki zaidi Tangu kuundwa kwa Cheo hicho Nchini Tanzania na Wakoloni, Bwana Paulo Makonda(zamani Daudi Bashite)...
Mbinguni 😄 🤣 😂😂😂😂 Hivi bado wapi hajaenda kushoot??
Mwenyekiti wa ulinzi na usalama analia kuwindwa sie kina pangu pakavu tutapinea wapi? Bashite kuwa na adabuMkuu wa Mkoa mwenye vituko zaidi na mtafuta Kiki zaidi Tangu kuundwa kwa Cheo]
Cha ajabu kadondoshwa kwenye chopper ya mwaka 78Rais wa Irani alikuwa na analindwa na Miltary Jet sembuse ulinzi wa mitulinga?
😆😆😆😆Mwenyekiti wa ulinzi na usalama analia kuwindwa sie kina pangu pakavu tutapinea wapi? Bashite kuwa na adabu
Acheni kuuhadaa Umma.Aongezewe Ulinzi 🐼
Rais Mkapa alimpa Ulinzi maalumu shujaa Magufuli 😄
it is a very good sentiment to boost the mood of audience there na nnadhan ndio utamu wa siasa huo!Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda..
Vituko kweli kweliMwenyekiti wa ulinzi na usalama qnalia kuwindwa sie kina pangu pakavu tutapinea wapi? Bashite kuwa na adabu
nikitekwa kk si utakuja nitoa kwa dhamanaKijana ,jishikilie kijana.