Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

Ndio maana mmletewa tume huru kwa jina
Hamna akil
Kwani hiyo Tume wameletewa wapinzani???

Wapiga kura wa Tanzania wote ni wapinzani???

Sasa Kwa hilo la Makonda ulitaka "aliyetwiti" afanye nini???

Mnapenda kukosoa upinzani huku mkijifanya mnaichikia CCM mnayoitukuza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…